Search results

  1. M

    Lowassa, unakumbuka kauli hii ya Kikwete?

    Akitoa hotuba raisi kikwete alisema maneno haya mkoani kigoma katika sherehe za kuzaliwa ccm namnukuu, ' nitakakisha naiacha nchi yetu chini ya ccm tena kwa rais kijana' hapo na wewe ulikuwepo kuna hii nayo ambayo ililetwa hapa jamiiforums ikitaja maneno ya zitto kabwe aliyo ambiwa na...
  2. M

    UKAWA tulianzia hapa, Sasa kitu muda tu

    2010 chadema walisema muda wa siku moja ya kupiga kura hautoshi. Baada ya rais kutangaza baraza ukasema anaharakisha nini muda upo tu. Muda wa kujadili katiba mpya hautoshi et tutumie mwaka au miaka. Muda wa kuisoma hautoshi. Muda wa kuipigia kura ya maoni hautoshi. Muda wa kuandikisha...
  3. M

    Ikibainika kuwa ni kweli, Mbowe you have to resign

    Chama chako kimekuwa mstari wa mbele kupinga ufisadi na rushwa nakupongeza sana. Kwa taarifa iliyopo katika baadhi ya vyombo vya habari ni kuwa na wewe ni kati ya mafisadi wanaotajwa/ kutajwa hadharani kuficha pesa huko ughaibuni. Hii itakuwa ni hatari kwa chama chetu pendwa juu ya vita dhidi...
Back
Top Bottom