Naamini nitapata majibu mengi juu ya hili, lkn cna imani kwamba nitawapata walio sahihi na majibu yao kwa asilimia 100. Kwani binadamu tumeumbwa kwa utashi wa pekee ambao huyachambua mambo mbalimbali. Ndio maana baadhi ya mambo aliyoyaamini na kuyaishi mwalimu, leo hii viongozi wengi na watu wa...
Hivi ipi ni sentensi sahihi kati ya:
'Naomba unipigie nyimbo ya Madee na Naomba nipigie wimbo wa Madee? Wafunzi wananikera sana. Msaada wenu tafadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.