Search results

  1. FRANK SHIRIMA

    Utawasaidiaje hawa???

    BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote. SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week. MUME (anampigia mpango wa kando):Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week...
  2. FRANK SHIRIMA

    Jamani watanzania hamjachokaaa

    haya maisha ya wananchi na ya watu wa serikalini mbona hayana uwianoooooo, wabunge wa ccm kusinzia tuuu na bado wanataka kiti cha Arumeru, jamani watanzania tuwe macho ccm inatupeleka wapiii,mbona ahadi zao ni tamu lakini matimizo machungu?madakatri wanagoma then wao wanatibiwa nje hivi ccm nini...
Back
Top Bottom