Takribani meno ya tembo yapatayo zaidi ya kumi yamekamatwa juzi majira ya jioni kwa ushirikiano wa askari wa usalama barabarani pamoja na askari wa wanyama pori hifadhi ya milima ya Udzungwa,meno hayo yalikuwa yakisafirishwa kutokea Ifakara yakielekea Dar,walipofika katika kituo cha askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.