Kwa wadhifa wa Mkuu wa Mkoa, Makonda ni mtumishi wa serikali na sio mweneezi wa CCm. Huyu mwandishi anaonyesha upeo mdogo katika kuchambua mambo ya kisiasa
mimi nipo sana mtandaoni, Iła hihi kauli za viongozi wa CCM kuanzia Makonda hata Kibajaji leo Bungeni na hii sasa zinanifanya nitafute hayo matusi, ni nani anayetukana, na ni mawaziri wepi wanao wasponsor hao wanaotutakana. Hivi watanzania wanaona mangapi mitandao? Wanaakili ya kujua huu ni...
Shida sio CEO, shida ni mtazamo wa wafanyakazi. Nimewahi kufanya kazi nje ya Tanzania na baadae Tanzania. Niliyoyaona ni watanzania wanapenda kupata mishahara na marupurupu bila ya kuitolea jasho. Tanzania tuna kizazi kisichoamini kutimiza wajibu bali ujanja ujanja.
Anayelipwa ni kiongozi mstaafu na sio familia yake au wenza wake. Ni nchi inayoendeshwaa kifalme au na wabunge waki ujima kama TZ ndio inayolipa wenza na hata watoto baada ya miaka 18. Msaafu ndio atajua kujipanga kutunza familia yake.
Bunge litunge sheria ya Mafao ya watoto wa maraisi kama ilivyofanya kwa wenza ya viongozi :D:D:D. nchi ya wajinga na kutoa zawadi tu. Sio apambana kweli!:mad::mad::mad::mad:
African Union kila uchao mikutano ya maraisi. Ila sijasikia mikutano ya wanasayansi wake kuhusu ugnduzi wa chanjo salama! Wazungu watatumaliza na kutufanya wanyama wa majaribio.
Mengi husemwa na hata uzinduzi hufanyika lakini hakuna linalofanyika. Mfano ni barabara ya njia mbili mpaka Holili iliyofadhiliwa na Japan kwa mardi wa EAC na kuzinduliwa na Samia na Uhuru Kenyatta ipo wapi? Jiji limekuwa slum kubwa... mipango hakuna. Mkuu wa mkoa anasifia bangi ya Arusha ni...
Wewe weka hoja za Mwanza mezani, na sio kulalamika. Ikiwa jambo jema halitokei, haijalishi ni wapi au kwanani tutalisemea tu! Wazungu wanasema: two wrongs do not make it right👌🏽
Kwa kweli Tanzania inapoteza fursa za kiuchumi kwa serikali 'kuipotezea' jiji la Arusha. Uchumi wa nchi nzima ungelinufaika kwa ongezeko kubwa la uwekezaji, makusanyo ya kodi na fedha za kigeni iwapo serikali ingewekeza miundo mbinu mizuri katika Jiji la Arusha. Arusha ni kitovu cha utalii, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.