Recent content by WONDERWOMAN

  1. W

    Zitto kurudi Bungeni ni ndoto!

    Aibu zakooooooooooooooo.zito huyoooooooooooooooo ndani ya mjengo.hongera comrade zitto zuberi kabwe 2020 uwe president wetuuuuuuuuu
  2. W

    Utata waibuka UKAWA

    tukisahau yaliyopita tutayarudia,lazima tuyapitie tusifanye makosa
  3. W

    Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    SHAME SHAME ,CHADEMA SHAME,ALL THE MONKE KNOW YOU NAME .OOOOOOOOOOO:sick::sick::sick::sick::sick:
  4. W

    Cousin wangu ananipenda

    Hakuna jamhuri yoyote itayomshitaki zipo ndoa nyingi za binamu,baba mmkubwa na mdogo,mama mkubwa na mdogo usiharamishe vitu ambavyo kwa wengine ni halali ukoo haundi mbali .aulize kwao inaruhusiwa au la.
  5. W

    Makahaba huzinusuru ndoa zenu!

    kWANI UNAFIKIRI MKEO ANAPONEA MAJI YA MOT ! AWEZA CHUKUA RAFIKI YAKO ,MDOGO /KAKAKO HATA BABA JIRANI NAE JIONI AKUCHEKI ANAKUPANDISHA NA KUKUSHUSHA TU ,ACHEZA NA WANAWE
  6. W

    Cousin wangu ananipenda

    Sisi kwetu tunaruhusiwa kufunga ndoa na binamu,ingekuwa powa maana undugu ndio unaboreshwa zaidi na mapenzi ya mume na mke,BINAMU KINYAMA CHA HAMUUUUUUUUUUUU.
  7. W

    Ukweli katika mahusiano

    Ndugu yangu unataka mume akikosa asiambiwe anafanya vitu out of point na kuicost familia dearly bado tu abembelezwe wakati anastahili bakora!Uongozi katika familia haupigiwi kura bali mtu huupata kwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo kama kuhakikisha kuna chakula cha kutosha na cha kufaa,malazi...
  8. W

    Zitto ataka Tanzania isitishe uhusiano na nchi za Magharibi: Kisa? Libya

    NATO ndio ilianzisha vita kwa kutumia kiini macho cha walibya waliopenda mageuzi na hata kama hawakuanzisha inahusu nini wao kuingia Mabeberu wanatamai kushika na kutawala kila nchi muumba alioibariki kwa dhahabu,mafuta na almas ,iperuzi vizuri dunia na uchmi wake kw ujumla utaliona hili.Naunga...
  9. W

    Umeshawahi Kununiwa Bila Sababu ya Msingi?

    Mbona hili tatizo ni la both sides ,dont be bias
  10. W

    Mwaonaje hizi ndoa tungekuwa tunaishi mbalimbali?

    Kuna kakangu mmoja alisema kuwa anampenda sana mkewe na watoto ila kuna vikero vidogo vidogo anahisi visigekuwapo kama wangekuwa wanaishi mbali na wifi ,sio kwa kumchukia au kwa kukwepa majukumu ila kupeana nafasi kidogo na demokrasia zaidi lakini hakuna kuzini,mwaionaje hii wakuu wa jamvi!
  11. W

    Umeshawahi Kununiwa Bila Sababu ya Msingi?

    Mbona hii hutokea mara nyingi na madhara yake ni kufifisha penzi ,mtu ananuna kwa kuhisi unamkosea labda umechelewa kurudi home,labda unaficha kipato chako,labda unampenzi mwingine ,kwanini unabipiwa simu yako halafu unasema anaebip humjui au umetumiwa msg na asiyejulikana au anaejulikana nae...
  12. W

    Ukweli katika mahusiano

    ilo neno!!!!!!!!!!!!!!! Walivyozowea kulishwa na kukwepa majukumu atamuweza golikeeper?
  13. W

    Yeke Yeke!!...

    Kweli hii ni jamii forum maana wengine hawajazaliwa ,wengine ndio wanacheza michezo ya baba na mama na kaka zao wa kuzaliwa nasi wengine tulikuwa twafikiria National form two exams wakati huo ndio kwanza umeanza na makali ya kuwarudisha watu mwaka,lakini yekeyeke tulicheza pia!
  14. W

    Ingelikuwa wewe utafanyaje!!!!

    Ukiruhusu ukae nae faragha ujue mtavunja amri ya sita atakuganda zaidi ya ruba!!!!!! wamjua wee ruba ,try and you will regret
  15. W

    Ingelikuwa wewe utafanyaje!!!!

    Mwite umshauri kama ni kweli hutaki kulala nae maana inaonekana shetani ameshawaingia na upo uwezekano wa sio tu kudonate sperms bali pia kuharibu kabisa ndoa yako yenye furaha na amani ,nakushauri umkimbie hafai huyo ,uzuri wa mkkakasi ndani kipande cha mti.kama dini zenu zinaruhusu kuoa mke wa...
Back
Top Bottom