swala ya kujiajiri kutamka ni rahisi. Ebu niambie mwalimu akajiajiri wapi?haijalishi ni wa grade A diploma au digree. tel me one example wapi? Where do you get capital? stop kudanganyana hapa. Serikali imeivest pesa nyingi kusomesha walimu hasa wanaomaliza vyuo vya ualimu vya serikali lengo...
tu tunahangaishana kwa BRN. sidhani kama Kikwete na wenzake wana mapenzi na nchi hii. uzalendo hakuna kabisa. Haiwezekani unataka matokeo katika makaratasi huku huajiri watu wa kusapoti hayo matokeo. Nadhani wanataka PRN(poor results now.
Hata usipotaka kuamini haya, bado hiyo elimu hailingani na majukumu ya uwaziri wa elimu. Bado mzigo tunao kabisa. A-level yenyewe ya kuunga kama si ya kuresit.
Nilitegemea mheshimiwa atafanya mabadiliko ya kuridhisha katika baraza lake la mawazi na kupunguza manung'uniko ya watazania walio wengi. natoa mfano wizara ya elimu kwa nini kamtoa Mlugo na kumwacha Boss Wake Kawambwa. Nahiyo wizara ya mali asili na utalii nilitegemea Nyarandu naye kutotokeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.