Recent content by willzkichaa

  1. willzkichaa

    Kuna sheria inayohusika na mambo ya ugoni?

    Fidia itampa amani kiasi ya moyo. Video na cctv zinatosha kwenda mahakamani ila aandae fungu la kuanzia mambo yawe na mashiko
  2. willzkichaa

    Natafuta Toyota wish 7M

    Ninayo Wish nauza milioni 6.5 namba DKT rangi blue. Nitext whatsapp tu kwenye namba 0754747050 ipo Mwanza mjini
  3. willzkichaa

    SoC03 "Wazee wa cha juu" : Jinsi udalali unavyoua soko la ndani

    Kwa namna yoyote ile udalali hauwezi kuisha kwa sababu chache na laini kabisa. 1. Sio wenye mali wote wanajua masoko husika na watu husika wanaoweza kuwa wateja wao. 2. Shida za dunia husababisha watu kutafuta mnunuzi wa mali zao kwa haraka ( saa zingine madlali hununua, iwe mazao, magari...
  4. willzkichaa

    Ninatafuta gari aina ya Toyota Allex kwa ajili ya kununua

    Ipo Toyota Allex namba DSU rangi ya Gold. Ukiwa interested nicheki whatsapp 0754747050. Note: gari ipo Mwanza. Bei ni 11.5M
  5. willzkichaa

    JamiiForums Usiku wa manane

    01:04am 02-09- 2023
  6. willzkichaa

    Kibatala amtoa kijasho RCO Arusha kesi ya mauaji ya Aneth Msuya

    Ukiwa bilionea hautapumzika kwa amani
  7. willzkichaa

    Tetesi: TARURA MWANZA: Huu ni wizi, mkaliangalie hili haraka sana

    Mimi nimekuta deni la elfu 50 tokea May 2023, halafu gari imemulikwa Uhuru St na Lumumba ambapo kwa mwezi huo hadi leo sijawahi kupaki maeneo hayo. Kuna siku nlimkuta dada mmoja anagombezwa maeneo ya kirumba kwa upole nkamfata nikamwambia usiwasikilize hao wewe umetumwa kwanini hawajae da kwa...
  8. willzkichaa

    Natafuta kazi nina diploma ya Logistics &transport management

    I know a person with bachelor of such.
  9. willzkichaa

    Nimepata kazi lakini mshahara ni mdogo mno

    Actually sijaona kosa lake huyu. Alishasema ni fresh graduate. Ukikua utaelewa mbeleni
  10. willzkichaa

    Wenye magari binafsi watoe lift kwa watoto wa shule vituoni ili mbarikiwe

    Siku naona mwanangu anaingia kwenye gari binafsi ndio siku atahama shule.
  11. willzkichaa

    Unakubalije kuachishwa kazi na mwanaume?

    Kuna mdau kauliza ndoa ambayo upo dar familia ipo iringa ni ndoa gani?
  12. willzkichaa

    Unakubalije kuachishwa kazi na mwanaume?

    Ikumbukwe. Sio mara zote ukisomeshwa ni kwa ajili ya kuajiriwa hadi ufe. Saa zingine wazazi tunaogopa watoto wasiwe wajinga na wakose maarifa. Elimu inaondoa ujinga na kuepusha mengi sana kwa mtoto wa kike.
  13. willzkichaa

    Wanaume mna laana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umeniwahi. Mrejesho muhimu
  14. willzkichaa

    Maadui wa ndoa na mahusiano yetu ni mabinti

    Keyword: HESHIMA [emoji41]
Back
Top Bottom