Hongera Sugu. Wote tudani na kudai na kudai bila kuchoka:. Katiba Mpya, Tume huru ya uchaguzi na kuhoji matokeo ya Uraisi mahakamani.....
Wakati wa uchaguzi kura zote zikiwemo za raisi zihesabiwe na kubandikwa vituoni
Namwombea sana Tundu Antipas Lissu maisha marefu kwani udhubutu wake, uangavu wa akili yake kwenye mambo ya msingi yanoyolihusu taifa letu na upendo wake kwa Taifa uweze siku moja kuji-mwilisha kwa kuchaguliwa kuwa Raisi wa nchi yetu.
Nyie watu nilishawaambia.
1. Tatizo kubwa la Tanzania ni mfumo. Hata aje malaika, hama mfumo tulionao hautabadilishwa nchi itaendelea kuporwa tu.
2. Zaidi ya 99.99% ya ma-CCM ni wapiga dili. Kama mnakataa niambieni zile Trilioni zetu 1.5 ziko wapi ?
So .. kisa cha makontena na anayofanya...
Baba Askofu tamko lako linaeleweka. Hata wale wanaoongozwa na nguvu za giza kwa kuminya uhuru wa habari, kupoteza watu kwa kuwaua, na kutishia watu wanajua fika kwamba unayoyasema ni sahihi na ni sauti ya Mungu.
Sisi sote ni watanzania. Wote tunaipenda nchi yetu. Tuna uchungu na nchi yetu...
Ni bora unyamaze kuliko kuandika vitu usivyovijua na tena kuviweka kishabiki kutetea utawala wa kaisari asiyeongoza kwa upendo bali kwa visasi, chuki, vinyongo na matishio. Hakuna njia lazima Atubu ili taifa lisije angamia kwa kutekana, kuuwana na kutupana baharini.
Sujui tumelaaniwa. Watu wanauwawa mchana kweupe, wengine wanatoweka kama akina beni Saanane na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi, wengine tena wengi wanauwawa na kuwekwa kwenye viroba, bado watu wanajitetea kuwa kila kitu ni shwari.. Matukio ya Kupotea kwa watu na kuuwawa yananikumbusha...
Yanayotokea Tanzania, yakitokea kwa wenzetu nchi inasimama. Nisiitaje kwani mifano ni mingi Duniani. Watanzania amkeni. Kama leo ni mimi kesho ni wewe. Kama siyo wewe ni baba yako, dada yako, kaka yako au Mtoto wako. au jirani yako. Inabidi sasa tuseme : ENOUGH IS ENOUGH..,.. Imetousha !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.