Recent content by washeby

  1. W

    Shampoo bora

    Wanajamvi msaada jinsi ya kutengeneza shampoo
  2. W

    Fursa ya mafunzo ya utengenezaj bidhaa

    jifunze kusuka vikapu,sabuni ya maji na mche kwa vitendo kwa tsh 15000 kwa wakazi wa mbeya. jifunze nasi ujiajiri.
  3. W

    USUS WA VIKAPU

    tunatoa mafunzo ya usus wa vikapu kwa gharama ya sh.15000 tu. Karibu ujifunze nasi popote ulipo mkoa wa mbeya
  4. W

    Mafunzo ya ususi

    Kwa gharama ya 15000 jifunze kushona vikapu uanze biashara yako
  5. W

    Ujasiliamali

    Karibu sana
  6. W

    Njoo utengeneze nasi sabuni ya mche kwa vitendo mwana mbarali

    Hakuna tatizo mkuu, kikubwa usiwe mwoga uwe tayar kujaribu hata kama uko mbali utajua tu.
  7. W

    Njoo utengeneze nasi sabuni ya mche kwa vitendo mwana mbarali

    Kwa gharama ndogo utajifunz hatua kwa hatua mpaka uelewe.
  8. W

    Kwa mabinti tu, ukipewa 500,000/= leo utaifanyia nini?

    Kutengeneza sabuni za mche. mafut(mawewe)62000 magad soda40000 harufu3000 boksi la kugandishia30000 kimashine cha kukatia miche150000 gloves 6000 buti 10000
  9. W

    Ukwaju kwa wahitaji

    Kwa wale wanaohitaji ukwaju Dar ni pm debe 10,000.
  10. W

    Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Mkuu tafadhali gharama za malighafi ni kias gan? mi nipo mby maana mara zote tunashndw endelea na uzalishaji kutokana na gharama za malighafi kuwa juu.
  11. W

    Ukwaju unapatikana

    Ukwaju unapatikana kwa tsh 7000 kwa debe Mbeya,bei inazungumzika. Kama unahitaj ni pm
  12. W

    Jinsi ya kutengeneza kashata

    hi wana jf,nimejaribu kutengeneza kashata ya ubuyu ikawa ngumu sana. msaada kwa anaefahamu namna ya kuiandaa iwe lain
  13. W

    Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    potelea mbali undugu,mwache mkeo na wazaz wake wah kwa dokt mapema,maana mkeo anaonekana kupingana na maandiko,hataki achana na wazaz na anataka aungane na mume?tabu sana.
  14. W

    Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya

    Nahitaji mafuta ya mawese niko Mbeya. Tafadhali anaefahamu yanapouzwa/kama unauza ni sh.ngapi kwa dumu la lita 20.
Back
Top Bottom