Recent content by Waridi

  1. Waridi

    Wasomi acheni kulalamika, ingieni kwenye Siasa mfanye mabadiliko

    Mkuu, Kahangwa fomu alichukua.
  2. Waridi

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Mkuu swagazetu, Huu ni uthibitisho https://www.youtube.com/watch?v=0cAnizFcvvY
  3. Waridi

    Dk. Kahangwa: Uchumi wa Tanzania ushikiliwe na watanzania

    Akizungumza katika mahojiano na kituo cha Television cha MlimaniTV alisema hivi;
  4. Waridi

    NCCR - Mageuzi yateua mgombea urais, ni George Kahangwa

    Dar es Salaam, Katika kile kinachoashiria kuanza 'rasmi' kwa harakati za kuwania uongozi katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015, leo chama cha NCCR-Mageuzi kimekuwa cha kwanza kumkabidhi kada wake Dk. George Kahangwa fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza mbale ya...
  5. Waridi

    Wazee kwenye uongozi tangu enzi ya ukoloni, Nyerere sasa imetosha, tuwapumzishe

    Walioko kwenye 70s Mhe. Wassira -ccm (70) Walioko kwenye 60s Dr. Slaa -ukawa (67), Mhe. Sumaye -ccm(65), Prof. Lipumba- ukawa (63), Mhe. Lowassa - ccm (62) Mhe. Membe -ccm (62) Walioko kwenye 50s Mhe. Mbowe -ukawa (54) Mhe.Mbatia -ukawa (51) Walioko kwenye 40s Mhe. Ngeleja -ccm (47)...
  6. Waridi

    Wazee kwenye uongozi tangu enzi ya ukoloni, Nyerere sasa imetosha, tuwapumzishe

    Naunga mkono hoja. Tuusambaze ujumbe nchi nzima. Na message iwe sent kwa vyama vyote. Wasituletee mgombea yoyote mzee. Tutampiga chini.
  7. Waridi

    Kwenu wabunge wa sasa: Hamna hatimiliki ya majimbo

    Waheshimiwa wabunge wa Bunge la JMT na hata wawakilishi wa katika baraza huko Zanzibar. Salamu. Napenda kwanza kuwakumbusha kwamba sisi wapigakura wenu tulipowachagua hatukuwapa ufalme bali tuliwadhamini tu. Cheo ni dhamana ati. Tuliwapa muda wa miaka mitano kututumikia. Kama mlifanya vema...
  8. Waridi

    Kuelekea kumpata mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, usomi kuwa kigezo?

    soma hii HABARI24 BLOG: VIJANA WA NCCR WAWAMTOSA MBATIA,WATANGAZA WANAYETAKA AGOMBEE URAIS UKAWA
  9. Waridi

    Kuelekea kumpata mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, usomi kuwa kigezo?

    Wakuu, Habari za uhakika ni kuwa leo katika mkutano wa waandishi wa habari, NCCR kimekuwa chama cha tatu kumtaja mgombea wake mtarajiwa. Yaelekea ukawa utapambanisha wasomi. CUF wanakuja na Profesa NCCR wanakuja na Dokta NLD nao wamemtaja Dokta CHADEMA bado kimya, lakini yaelekea watamtaja...
  10. Waridi

    Kwa UKAWA ni lazima kimojawapo kipatikane!!

    Kuna uwezekano wa UKAWA kupata majimbo mangapi kati ya 240? Ili inoge inabidi majimbo yasipungue 50% + 1 yaani 121 na kuendelea. Ni vema UKAWA ukaweka malengo yasiyopungua hapo. Yakifanikiwa haya, tutakuwa na bunge tamu sana!
  11. Waridi

    Dr. Wilbrod Slaa v/s Makongoro Nyerere CV, nani anafaa kuwa raisi wa Tanzania kati ya hawa

    kumbe katiba pendekezwa ingemwondoa makongoro katika kuwania kuingia magogoni! No degree.
  12. Waridi

    Dr. George Kahangwa kugombea urais kupitia Upinzani

    Mmm, wewe hapo unamtaja yupi kwenye picha? Tatizo liko wapi kwenye mavazi yake?
  13. Waridi

    Dk Mwakyembe: Hatutazuia magari ya kitalii toka nchi jirani

    Anaweza, ilimradi kauli yake isipingane na kile serikali inachokiamini. Labda kama hawafanyi kazi kama team moja.
  14. Waridi

    Dk Mwakyembe: Hatutazuia magari ya kitalii toka nchi jirani

    Angezungumzia pia mipango iliyopo ya kuvifanya KIA, JNIA na Arusha kuwa vya kisasa zaidi, ili watalii wanaokuja Tanzania wasilazimike kupita Jomo Kenyatta.
Back
Top Bottom