Recent content by wamwigamba

  1. W

    Njia rahisi ya kum spy mpenzi wako kwa kutumia whatsApp web

    Lakini pia unaweza kuscan simu yako mwenyewe (kama hutaki kumchunguza mwenza wako) , itakusaidia kuchat kwa kutumia PC bila kugusa simu kwasababu inaruhusu kusoma na kureply sms
  2. W

    Njia rahisi ya kum spy mpenzi wako kwa kutumia whatsApp web

    Nimejaribu hiyo application inafanya kazi vizuri. Nadhari no njia nzuri ya kuchat kwenye whatsap bila kutumia simu ya mkononi.
  3. W

    Wakuu, nahitaji Flatscreen TV kuanzia inch 28 used

    Weka bei zake mkuu @ mukulupapaa
  4. W

    Baada ya kufanya mapenzi, uume wangu hausimami tena

    Huyo mwanamke ulikua unamfahamu kabla ya siku game au ulijibebea tu?.
  5. W

    Wafahamu Nyoka wenye sumu kali na madhara yake

    Mkuu hao nyoka wanapatikana east Africa .?
  6. W

    Kakobe amshukia Lowassa, azungumza kuhusu Kura ya Maoni

    Well said Kakobe, ukibisha umeamua tu ila ukweli ndio huo
  7. W

    Wabunge wa Tanzania na siasa za kinafiki kuhusu Mahakama ya Kadhi

    Hamna sababu ya msingi kwa bunge kujadili swala la mahakama ya Kazi, kufanya hivyo ni mwanzo Wa kukuza na kuchochea udini , Leo tunaongelea udini kesho watakuja watu wanaotaka mahakama za kimila, mwishowe tutajikuta tupo tunajadili udini na ukabila
  8. W

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Bukene

    Ni hatari, kazeni buti makamanda tupo nyuma yenu katika harakati za mapinduzi ya kweli Tanzania.
Back
Top Bottom