Recent content by Wambandwa

  1. Wambandwa

    Makonda: Aliyesema ametekwa ameuchafua mkoa wetu, Iringa wakimalizana nae wamlete Dar

    Nasikia eti hata Akwilina aliuawa na waliokuwa wanaandamana (CHADEMA). Upuuzi huu wa kugeuziana kibao unaanza kuota mizizi. Makonda ujue hutakuwa mkuu wa mkoa miaka yote....
  2. Wambandwa

    Arusha: Diwani wa kata ya Osunyai, Elirehema Nnko(CHADEMA) ajiuzulu na kujiunga na CCM

    Taratibu twaelekea kwenye mfumo wa Museveni, Kagame, Nkurunzinza na Kabila!
  3. Wambandwa

    CCM yaanza kujipanga Uchaguzi 2020. Viwanda kwaheri

    CCM wanaongozwa na siasa za mlipuko. Dr. Lwaitama kawaambia kwamba tuliacha kutawaliwa tangu 1961, hivyo baada ya hapo ilibidi tuwe na kiongozi. Think hard, kama Polepole naye anatoa maelekezo kwa watendaji wa serikali, where are we going? Tanzania ya viwanda watatuzidi Rwanda kwa mbaali saaana...
  4. Wambandwa

    CCM inaligawa taifa, Polepole anazunguka nchi nzima anafanya mikutano anatisha watumishi wa umma, wapinzani ni marufuku

    Nape Nnauye, we'll always miss your political tactics, sio huyu kilaza. Ebu mpe tactics za kuvuta watu karibu na chama chenu. Your party is slipping away from people while you watch. Kumbuka ulikokitoa hiki chama.
  5. Wambandwa

    USHAHIDI: Kichwa cha treni kilichoanguka Kigoma ndo kilikuwa bandarini

    Opposition is suppressed here and doomed to be wiped out of the party's register. Unless you're suggesting a warfare. That is the only way out - CCM walishasema hawawezi kuachia nchi kwa kipande cha karatasi.
  6. Wambandwa

    Mwalimu Nyerere aliisuka 'System' ikasukika,tunaishi kwenye kivuli hicho

    Hivi ni kwa nini enzi za mwalimu wanajeshi na polisi wengi walitoka mkoa wa Mara????
  7. Wambandwa

    To be honest, kwa hili Rais ataipeleka nchi kusikojulikana. Sera ya viwanda inayeyuka!

    In Industrial Revolution there's "ENGINEERING SPECIFICATIONS" - not "POLITICAL SPECIFICATIONS".
  8. Wambandwa

    USHAHIDI: Kichwa cha treni kilichoanguka Kigoma ndo kilikuwa bandarini

    Bila ya kuyaanika haya sisi tukayaona, wapinzani tufanyeje? Kila kukicha kupigwa, kufunguliwa kesi za kubambikizwa ili watu wawe waoga. Nina imani kwamba kwa ku expose uozo bila kuuficha wanachi watajua kwamba walivyoambiwa vichwa vya teni havina mwenyewe kulikuwa kunatafutwa kiki ya kisiasa...
  9. Wambandwa

    Askari wa usalama barabarani wakimpiga raia

    African countries are p**t holes, so are its residents under this kind of regimes!
  10. Wambandwa

    Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule 'Profesa J' akamatwa na Polisi baada ya mkutano wa kampeni

    Hiyo ndo serikali ya awamu ya tano bwana - spreading dictatorial wings. How I wish I could return into my young age so that I could squarely deal with these POLICCM.
  11. Wambandwa

    Zanzibar: Marubani wawili wa chuo cha usafiri wa anga wafariki baada ya ndege yao kudondoka uwanja wa ndege wa Karume

    R. I. P young men. Itakuw mmoja alikuwa Instructor na mwingine Pilot Trainee!
  12. Wambandwa

    Ninaikumbuka ile CCM ambayo ukivaa sare zake unazomewa mitaani

    Yeyote anayeshabikia CCM kwa sasa ana mtindikio wa ubongo kama yule nilyemsikia akimsifu rais kuwa kwa miaka miwili tayari tuna ndege mbili! Ziko wapi? Kama unaringia bombadier mbili na KQ watasemaje wenye Boeng 737 (12), Boeing 787 Dreamliner (9), na Embraer ERJ-190 (15), - najua wengi hapa...
Back
Top Bottom