Recent content by wahida

  1. wahida

    Mtoto wa kitusi kaniomba msamaha

    kusamehe n sehemu ya uungwana, na anaejua kuomba radhi mara nyingi n mungwana anaejua kama yeye n binaadamu ana mapungufu. GIVE SEC CHANCE....
  2. wahida

    Wanaume siku hizi wamekuwa kama wanawake ushauri

    yaan apo unamuhonga nae anahonga ndio tabia zao wanaume kama hao wapokonyaji na player
  3. wahida

    Wanaume acheni porojo fanyeni kweli

    lo hii lzima speechless nakwambia ,hawaneni apa
  4. wahida

    Anapodai macho yangu yanamtongoza...

    hahaa ruta nawe mkali?
  5. wahida

    Kwa nn Wanawake wana maswali mengi sana??

    cos wanaogopa kudanganywa , lazima ajipange na ajue ukweli ,ata haisaidii ,cos wanaume hodari kwa hilo anaweza kuonesha nyumba ya waziri ndio akasema yake ,,lol
  6. wahida

    Mke anatambia ndumba za ukeni!

    ndio, pengine wapambe nuksi,
  7. wahida

    Mke anatambia ndumba za ukeni!

    ofcz ruta yaan stayaway from somebody happiness cos hujui walimwengu lengo lao, pengine wivu huo na choyo anamuona mwenzake anavyopewa malavi davi wao yana wauma ..
  8. wahida

    Mke anatambia ndumba za ukeni!

    . lol balaa duniani
  9. wahida

    Mke anatambia ndumba za ukeni!

    hehehe ,anapewa limbwata? ,h ,ila sometime binaadamu tu sisi na fitna zetu ,pengine mapenz tu na mwadada anajua kupika wao wanahisi anapewa limbwata
  10. wahida

    Mama yangu adui yangu

    so hii n true story ou hadithi ya kitabuni?
  11. wahida

    Mama yangu adui yangu

    so why unamchukia mama yako? cos amekataa kukupa msaada BAADA ya kuolewa? ihave a question for u ,,wewe n muslim? or dini gani unaamini? find u afr yr ans
  12. wahida

    Salamu ya "Jambo, Hakuna Matata" inavyowaliza wazungu Mombasa...

    dunia ina watu na watu wana mambo na majambo jamani,,
Back
Top Bottom