Recent content by vanpersie

  1. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mungu akutangulie mkuu umpasue mhindi ule mwaka vizuri, ila ushauri wangu hasa kwa hizo tiketi zilizobakiza mechi moja moja kukamilika jaribu kubeti matokeo tofauti uweke hata ka dau kadogo ambacho upo tayari kupoteza kama kakiliwa huku ukiwa na uhakika wa kula nyingi. mana ikitokea bahati mbaya...
  2. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    samahani mkuu nimechelewa kuiona post yako. mi natumia cash card ya Tshs kudeposit kwa MPESA na haijawahi kunisumbua na deposit kama kawaida na kuwithdraw kutoka BET365 inakuja bila tatizo na ikifika tu kwenye akaunti napata sms ya confirmation. nilikuwa natumia cash card ya US$ nayo haikuwahi...
  3. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    uzoefu wangu ni kama ukiwithdraw kuja banc abc inachukua siku mbili za kazi. benki nyingine sina uzoefu nao.
  4. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu Joaquem naomba nikushukuru kwa mikeka hii, japo miwili imegoma ila huu wa odds 472 umenipa hela nzuri. niliingia jukwaaani na kukuta mikeka yako hii na moyo ukanituma tu kuweka. ubarikiwe mkuu.
  5. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu, hawa meridian ukiwithdraw hela unaipata hela yako ndani ya dakika tatu kama ni kwa kutumia Mpesa. ila Kwa kutumia tigo pesa sijawahi kujaribu. ikitokea ume withdraw afu ikakaa zaidi ya dakika tatu bila kufika just log out then log in itakubali kutoka muda huo huo, hiyo ndo experience...
  6. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    tip: mechi za uingereza premier ligi. first ten minutes corners over 0.5. chagua mechi zako unazoona zinafaa tupia stake inayokutosha. zote zitatoa
  7. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ulibet kwa kampuni gani mkuu, mana kampuni nyingi huwa wanasubiri kwa siku chache kujua imepangwa lini hiyo mechi ndipo aidha waipe odd ya 1 au wasubirie ichezwe. Ila kama ni kampuni ambayo unaweza kufanya cash out ni bora ui cash out kama hawajaipa tarehe nyingine mpaka sasa.
  8. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mkuu salute sana kwako, sasa naamini huwa unafanya uchambuzi wa kina kabla ya kutupia mzigo. jana nilitamani sana nikufuate hasa hiyo ya 3+ ila moyo ukasita. daa nimepishana na hela hivi hivi.
  9. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    tip: last ten minutes Germany vs poland goals over 0.5 odds 2.25
  10. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mi huwa natumia banc abc nalipia cash card yao ambayo ni visa/mastercard na inakuwa tayari kufanya malipo/manunuzi online. ndio huwa naweka hela humo kwa mpesa na kuitumia kudeposit bet365. nikibahatisha nika win nawithdrawal kupitia akaunti hiyo ya abc na nikitaka kuitoa nata tu kwenye atm...
  11. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    asante mkuu, ni option nzuri hasa kwa timu ambazo zinakuwa zimekamiana lakini hazina forward wazuri. kwa timu ambazo hazina cha kupoteza unaweza kuta kipindi kizima hakuna goal kick wala kona.
  12. vanpersie

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tip: england vs Wales first 10 minutes. goal kick over 1.5 odds 1.72.
Back
Top Bottom