Recent content by vangilichuma

  1. V

    Jukwaa La Katiba: Zakia Meghji alipiga kura kama Mjumbe wa Zanzibar

    Hiyo katiba waliyo ichakachua ya kwao wenyewe wengine hatuhusu
  2. V

    Nini tofauti kati ya CCM enzi za mwl. Nyerere na CCM ya kizazi kipya?

    kweli nyerere kwaza alikuwa mtakatifu ila kwasasa walioko humo ccm ni mashetan
  3. V

    Tundu Lissu akamatwe na kufunguliwa mashtaka

    lissu anahaki ya kusema kwa sababu anajuwa anacho ongea yuko sawa kabisa hawa wengine wapowapo tu wakiingia bungeni kazxi yao kusizia tu
  4. V

    Kazi za tasaf techinician and monitoring officer 30 post

    hapo mpaka uwe mtoto wa kigongo hivihivi mkono haurambwe
  5. V

    Barrick buzwagi watangaza redundace

    hao mataperi chezea barrick weye::A S angel:
  6. V

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    ira ndugu zangu huyu zitto lazima awekewe ulizi wanaweza kumpoteza hawa tuwe makini sana peoples power chandema 2015 tunawini
  7. V

    Jafo wa CCM ampiku tena Mnyika wa CHADEMA muswada fao la kujitoa

    amini nawambieni huku tunako erekea hawa mafisadi ccm we waache tu haijarishi jafo au kijana wetu mnyika sisi tunacho taka ni hera yetu tupate rai tulisha toa huku geita waandae bunduki na lisasi nyingi hatukubari hata kidogo we acha watuzungushe tu
  8. V

    Msigwa amlilia mwangosi, asikitishwa na ukimya wa viongozi wa nchi.

    msigwa hii ndoo tanzania bwana watu tunauwawa kama buzi 2015 ndoo mwisho wa kuuwana ovyoo bwana
  9. V

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    safi sana yanajisafishanyenyewe jimbo letu hilo wamezidi zuluma haoooo??? chama cha wanaume kinaingia:flypig:
  10. V

    Zitto Kabwe mbunge makini kuliko wote TZ!

    kijana au mdogo wangu zitto ukweli ameosha siyo kwa kuosha kuwa aonekane kwa watu ira ukweli katika histol ya tz huyu ameonekana kama nyerere vile , tunataka wazalendo wa namna hii rakini hii ni kwasababu ya chama safi CHANDEMA HOOOYOOO
  11. V

    Mbunge wa Geita Anusurika Kichapo Jimboni Geita!! Mkutano Wavunjika

    YANI HUYO AGECHAPWA KABISA maccm yamezidi yani hawa dawa ni nihiyo tu
  12. V

    Napinga kwa nguvu zote CHADEMA kutokata rufaa

    haki ya mungu haipotei arusha tutaweka hata jiwe tu tutashinda cha kusikitisha kodi za warara hoi hawa zinaliwa hebu tumogope sar good ira hata kama kunauchaguzi chochote kile kitakacho wekwa hata ng'ombe tunatoka
  13. V

    Unyama wa Serikali Iringa Vijijini

    na bado baraa linakuja
  14. V

    Unyama wa Serikali Iringa Vijijini

    huo ndoo mshahara wa kuchagua ccm maana watu hawa wanajifanya hicho ndo chama kilicho wakuza elim ya uraiya 2014 ichukue hatam chandema huyeee hao wananunuliwaga KOMONI wanatoa kura wacha wakome ndoo watajuwa joto ya jiwe:wink2:
  15. V

    Nafasi za kazi (2) za u-secretary kwenye stationery.

    maana ya PM ni ??? matennece au serce
Back
Top Bottom