Recent content by utantambua

  1. U

    Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA - 5: Wanasiasa Wetu Watatu - Mbowe, Slaa na Zitto...

    Makala nzuri haswaaa, kimetholodojia inatambaa kufuata SWOT analysis ya uongozi wa Chadema. Kwa walio biased wasiopenda kuona mapungufu ya cult heros wao yakianikwa watakushambulia kuwa wewe ni MM gani sijui na mmoja kati ya wale wasaliti 45.
  2. U

    Siasa za Tanzania

    Go get a hobby
  3. U

    Siasa za Tanzania

    Business as usual kama ilivyokuwa Malawi baada ya Kamuzu, Zambia baada ya Kaunda na Kenya baada ya Moi. Hii nadhani inasababishwa na li-mdudu bureaucracy utakuja utawala mpya lakini hili dudu bureaucracy linabaki vilevile na vyama vya siasa (tawala mpya) zinakuwa hazina uwezo wa kulifanya liwe...
  4. U

    Mandela Funeral: Live updates

    Kaunda rafiki wa kweli wa Nyerere.
  5. U

    Mandela Funeral: Live updates

    Kaunda kathibitisha bado wamo. Long live Kaunda.
  6. U

    CHADEMA Kuchagua Siasa: Plan "A" Vs Plan "B". (Hakikisha unapitia kwa makini.)

    Plan A yaonekana ina mvuto na kutekelezeka kwa wepesi zaidi.
  7. U

    Familia ya Mwl. Nyerere yaalikwa kwenye mazishi ya Mandela

    Asante, post yako imetoa mwanga na taarifa zaidi.
  8. U

    Familia ya Mwl. Nyerere yaalikwa kwenye mazishi ya Mandela

    Rais wa Cuba alizungumza. Alipewa nafasi.
  9. U

    Familia ya Mwl. Nyerere yaalikwa kwenye mazishi ya Mandela

    Utalinganisha vipi watu wawili ambao wamekua katika mazingira tofauti? Ni upi mchango wa Nyerere alishiriki katika kupigania uhuru wa nchi nyingine za Africa kabla ya mwaka 1961? Hakuna. Mchango wa Nyerere ulianza baada ya Tanganyika (Tanzania) kuwa huru. Sasa ni kivipi Mandela angeshiriki...
  10. U

    Kagame na mseveni have shown the way, will kikwete follow suit

    Ni noma sana, kumbuka frantz fanon alisema "ngozi nyeusi, kinyago cheupe"
  11. U

    Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA na Kuumaliza Kuuelekea 2015

    Kinachonishangaza ni hiki pale wanachama/viongozi wa chama tawala wanapokwenda kinyume na nidhamu ya chama tunawapongeza na kuwaona mashujaa wa demokrasia lakini hali hiyo hiyo ikitokea upinzani tunawaona ni wasaliti.
  12. U

    Bunge la Tanzania LAKATAA kufanya TRIBUTES to NELSON MANDELA

    Na kesho yake tamko la Bunge lilisomwa na Lowassa.
  13. U

    Bunge la Tanzania LAKATAA kufanya TRIBUTES to NELSON MANDELA

    Ndio hivyo mkuu, watu hawafuatilii taarifa zote. Wanalaumu kwa kutegemea hisia na taarifa haba walizonazo. Wakati bunge limeshamaliza kutoa heshima kwa Mandela.
Back
Top Bottom