Wakashuka watu waliotoka Uyahudi wakawafundisha wale ndugu ya kwamba, Msipotahiriwa kama desturi ya Musa hamwezi kuokoka. Basi baada ya Paulo na Barnaba kushindana na watu hawa na kuhojiana nao sana, ndugu wakaamuru kwamba Paulo na Barnaba na wengine miongoni mwao wapande kwenda Yerusalemu kwa...
Amani iwe nawe mwana wa Mungu. Nichukue nafasi hii kukushukuru wewe ambaye umefanyika kuwa baraka kwetu katika kuineza injili pamoja nasi.
Mungu aliye hai awabariki nyote ambao mnajitoa kwa ajili yetu kutufanya kuwa hewani. Mbarikiwe nyote mnaotuombea, mnaotutakia mema na mnaotubariki kwa...
Tumsifu Yesu Kristo mwana wa Mungu.
Jana tuliangalia kwa kiwango fulani jinsi maandiko yanavyotuambia kuwakumbuka maskini katika zaka na dhabihu zetu. Tuliona pia kwamba Mungu anawapenda sana maskini na ili nasi tuonyeshe upendo wa Kristo uliomo ndani yetu basi ni vema tukajifunza kuwasaidia...
Bwana Yesu apewe sifa.
Mwana wa Mungu tumeangalia kwa namna moja au nyingine namna ya kumtolea Mungu matoleo na Zaka mbali mbali. Kwa sasa nataka nikuonyeshe maeneo kadhaa ya kumtolea Mungu ili upokee baraka katika utendaji kazi zako.
Ndugu yangu ni vizuri sana kukwambia jambo hili. Maskini...
Usije jitwalia laana kwa kuwawekea maneno viongozi wa madhehebu walotoa tamko kwa kusema wameandaliwa lile tamko. Nakusihi katika jina la Yesu acha kuwawekea maneno midomoni watumishi wa Mungu. Tuendeshe siasa zenye tija kwenye Taifa letu na si siasa za namna hii. Utabeba laana. Na Mungu akusamehe.
Wiki iliyopita kabla ya jana, yaani tar 8-11 mwezi huu 5 waumini wa Kikristo walikuwa na mkutano wa Injili katika viwanja vya kanisa la Africa Inland Church Kigamboni, nyuma tu ya Kituo cha Polisi Kigamboni. Waumini hawa walikutanika katika mkutano ule baada ya kupewa kibali na Manispaa kwa...
Wana bodi,
Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru Mungu kwa ajili yako nami, kupewa neema ya uzima tuendelee kumtumikia katika mwaka huu mpya wa 2013 kwa kadri ya siku atakazotujalia tumtumikie katika mwaka huu.
Pamoja na milima na mabonde tulopitia mwaka ulopita lakini tunapaswa kumshukuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.