Ni watu waliofilisika kiakili kwa kushindwa kutenganisha mambo ya selikali na ya dini. Ivi unalazimishaje mambo ya dini yawe kwenye katiba? Ni ujinga tu na mawazo mfilisi
Naomba nianze kwa kusema binadam huwa wabishi sana lakini siku ikifika ameumwa sana huanza kukumbuka kuwa Mungu yupo na ikiwezekana huomba aletewe viongozi wa dini ili aombewe apone au ahakikishiwe safari salama anayoianza.
Viburi vyote vya mwanadamu ni wakati akiwa mzima wa afya na si akiwa...
Well said mkuu, mm nashangaa ivi hawa wenzetu wanashindwaje kushughulikia mambo yao ya kidini mpaka selikali iwasaidie? Nawakumbusha tu kuwa inchi hii haina dini nyerere alishasema na rasimu ya katiba imependekeza hivyo. Kuaanza kuleta tena mambo haya ni kujiingiza kwenye migogoro isiyo ya...
Tumieni mahakama ya kadhi kwa manufaa ya waislam na iendeshwe hukohuko kidini, msituletee selekalini kwa kuwa haiwagusi watanzania wote, kama ni miguu kataneni hukohuko ss haituhusu, na kama kuna mtu anafikiri kuna siku mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba aendelee kusubiri majibu atayapata.
Katika watu machizi ndiyo ww, ivi huoni mnataka kuleta migogoro ya kidi? unafikiri dini zingine haziwez kudai hizo mahakama? Acha kufikiri kwa kutumia makalio ww
Yaani katika vitu ambavyo vimenichefua leo ni kusikia eti mojawapo ya kamati za bunge la katiba wanajadiri uwepo wa mahakama ya kadhi. Ivi hawajui kama wanataka kuleta mzozo usio wa lazima? Wasitake wakristo nao wakaanza kuongea. Mahakama ya kadhi ni suala la kidini tuwaachie wenye dini husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.