Recent content by TzComedy

  1. TzComedy

    CCM Maji ya shingo Kinondoni, Kailima aanza kutumika...

    CCM kumejaa vilaza kweli, imekuwaje mtu kajiuzulu ubunge then munampa tena agombee nafasi aliyojiuzulu!?
  2. TzComedy

    Kwanini gari za Tahmeed zinapata ajali mara kwa mara?

    Hili neno "hamnazo" sijui kama atakubali mtoa mada!.
  3. TzComedy

    Kwa msimu wa 10 mfululizo mfalme wa soka ulimwenguni anatimiza magoli 20 au zaidi katika La liga pekee.

    Subiri team Ronaldo wakuporomoshee radi ya matusi, mana ni wajinga sijapata kuona.
  4. TzComedy

    Kama Emirates wanalipwa hivi, hapa bongo wanalipwaje?

    Zipo nyingi sana, Angalizo; kitu kama hukijui usiseme hakipo.
  5. TzComedy

    Picha: Msichana aliyeuawa na mwanafunzi wa SUA

    Acha uongo Mzee, chura umeionaje hapo wakati mtu kakaa?
  6. TzComedy

    Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

    Nina wasiwasi na customer care yenu, mana hiyo mikwara sio ya nchi hii.
  7. TzComedy

    Mpaka muda huu sijaziona rambirambi za CCM kuhusiana na Msiba wa Kingunge

    Serikali ya CCM na CCM yenyewe wameweka uchama mbele kuliko Utu kwahiyo watanzania tusitarajie mema kutoka CCM kwenda kwa Kingunge ambae mwanachama mtiifu wa CHADEMA.
  8. TzComedy

    WCB wawapa kichapo Shilawadu

    Weka picha ya mapengo ya Sudi, vinginevyo huu ni ushuzi tu mkuu.
  9. TzComedy

    Hatimae Economist Perry amepata kazi Serikalini

    Wewe ni ule ukoo wa Nzilenkende?
  10. TzComedy

    TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Chini ya mikono safi lkn, au kuna ubishi juu ya hili mkuu?
Back
Top Bottom