Recent content by Tuesmda

  1. T

    [Hebu tulonge] Nani tumchome MOTO kati ya KIBAKA (aliyekwiba kuku wa Mzee Kobero na FISADI???

    Nani tumchome MOTO kati ya KIBAKA na FISADI?
  2. T

    Kura ya Maoni: Je, unaiamini Taarifa ya Kova Kuhusiana na Mkenya wa Dr Ulimboka?

    Kwenye ku vote .Mimi kura yangu ni KUTOKUWA NA IMANI CCM WOTE
  3. T

    Kura ya Maoni: Je, unaiamini Taarifa ya Kova Kuhusiana na Mkenya wa Dr Ulimboka?

    Binafsi sishangai, maana maigizo kama haya TZ mbona nimesha yazoea.SIRI TUNASEMA ....BAYANA TUNAFICHA
  4. T

    Kutoka vipele kwenye uume

    Nina VIPELE vidogo vidogo ambavyo HAVINIUMI, vimezunguka kichwa cha uume.Niko navyo kwa muda wa miaka isiyopungua kumi .Nilikwenda hospitali nikaambiwa ni fungus .Nikapewa dawa lakini haiku nisaidia kabisa.JAMANI ANAYEJUA ANISAIDIE
  5. T

    Magonjwa ya Zinaa

    Vipele vidogo vidogo vimetokea na kukizunguka kichwa cha uume.HUU NI UGONJWA GANI NA DAWA NINI?
  6. T

    Kutoka vipele kwenye uume

    Kwenye uume wangu nimetokwa na vipele vidogovidogo ambavyo vimezunguka kichwa cha uume.NA vipele vyenyewe haviniumi .Kwakweli niponavyo takriban miaka sita hivi.Nilitumia dawa lakini haikunisaidia kabisa.TAFADHALI NISAIDIENI
Back
Top Bottom