Recent content by ToughLee

  1. ToughLee

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Hapana nimefanya jumatatu kesho yake nikaitwa almost mpaka ijumaa nikawa nimeshakamilisha kila wanachokihitaj nika sign contract
  2. ToughLee

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Kuna mtu alituambua kaka ake anafahamiana na HR tukajua uhakika ila kwenye kujaza contract hatukumuona
  3. ToughLee

    Mlioomba NMB Direct Sales Officer mmefanikiwa kufanya Aptitude test?

    Sio kwel ....najua watu waliopata hizi kazi Bila kujuana na mtu yeyote,mimi nimeshasign mpaka contract na simjui mtu yeyote NMB
  4. ToughLee

    Tunaoenda UDOM tarehe 20/05/2022 Worker Compensation Fund - COMPLIANCE OFFICER

    Kama mda wako umefika we ndo unakua mwenye nafasi...#Mwanajeshi Ashindwi vita
  5. ToughLee

    Mwanaume usijichukulie poa

    🤔🤔Point!🙌🏾
  6. ToughLee

    Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Hongera Sana mwanetu..kawakilishe vizur usije ukapagawa na ml 6..ukaanza mambo ya Ajabu
  7. ToughLee

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Education -Bachelor of Science in Insurance and Risk management Status -Jobseeker Experience -Two Years Skills-Costumer Service,Sales and Marketing,Time Management skills, Teamwork Skills
Back
Top Bottom