Anahitajika mhasibu/accountant wenye uzoefu usiopungua miaka mitatu kwenye sekta ya usafirishaji/transport and logistics. Vigezo awe amehitimu shahada ya kwanza kwenye fani ya uhasibu na pia awe ameshafanya kazi kwenye kampuni yoyote kubwa inayojihusha na usafirishaji wa mizigo kwa muda...
Nakodisha tipper semi-trailer mpya aina ya Scania. Ni tani 32 maalumu kwaajili ya kupakia kokoto. Inauwezo wa kupakia cubic metre 20. Nakodisha kwa bei ya TShs laki 6 kwa siku. Yoyote aliye interested ani inbox
Wasalaamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.