Recent content by Theodora

  1. Theodora

    Kampuni ya AGL Yaingia Mkataba wa Kuendesha Bandari ya Malindi Zanzibar Kwa Miaka 5. Serikali na DP World Mnatufundisha Nini?

    Na nakumbuka Rais Mwinyi alitoa sababu za kuingia PPP. Na ZPC ilikuwa inapata faida tu ya 16%. Issues kubwa port congestion and delays.
  2. Theodora

    Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Tatizo our own people give excuses to defend mediocrity, kwamba ni sawa kuwa substandard or to receive poor quality service, na ukiwa wa tofauti upaze sauti ni fitna.... When this changes we will have full emancipation as citizens with dignity.
  3. Theodora

    Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Soma vizuri nimeelezea. BTW hapa nilipo again the have outdone themselves delayed flight. Hata foreigners waliyokuwa silent are not happy. In a span of 4 trips I have taken in 1 month ALL THEIR FLIGHTS DELAYED.
  4. Theodora

    Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    My friend precision is a broken record. 100% delays and poor service.
  5. Theodora

    Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Hivi hawajaruhusu wawekezaji wa sector hii? Au masharti magumu? Vp huyu kimeo kapita vp due diligence?
  6. Theodora

    Precision Air is the Worst Airline and aviation company

    Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air. Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda. Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.
  7. Theodora

    Maoni kwa Wizara mbalimbali yaliyotolewa na Wadau wa Twitter Space ya Jamiiforums Januari 26, 2023

    Wizara ya Elimu mko dunia gani?? Wanafunzi wanakaririshwa tu hawapati maarifa na life skills na mnajifanya eti ni Competence Based Curriculum. Tunamaliza mwezi wa kwanza vitabu vya kiada bado....halafu lazima Wizara mregulate hizi international schools. Tunatamani na sisi watoto wetu wasome...
  8. Theodora

    Maoni kwa Wizara mbalimbali yaliyotolewa na Wadau wa Twitter Space ya Jamiiforums Januari 26, 2023

    Nalia na Wizara ya kazi. Aisee mmezidi na hivi vibali vya kazi kwa wageni. Hamna uchungu kusema watanzania wajiajiri huku vibali vinatolewa kiholela. Nafasi ambazo zilikuwa zimeshikwa na wazawa tangia 2021 zimerudi kuwa za wageni. Hizo succession plans huwa za kazi gani?
  9. Theodora

    Hakuna Taifa lililoendelea kwa ziara za Rais Nje ya Nchi

    Sasa kuna kampuni ilikuwa ina wageni 3 maana walibanwa awamu iliyopita kulocalise positions kama 7 na ajabu wazawa walikuwepo na wakapewa hizo kazi. Ajabu katikati mwaka jana wamewarudisha wageni speed ya 5G na sasa wazawa wale wameondolewa kupisha wageni. Je, kwenye practice ya localisation...
  10. Theodora

    Tuliokuwa tunamponda Magufuli akiwa hai, sasa tutamtetea akiwa Amekufa!

    Na sasa kuna expatriates wananyanyasa sana wazawa wakijua hawapelekwi kokote na TZ hawaondoki ni wazawa wanawajengea kesi na kuwaondoa. Sasa hata wizara ya kazi they don't care.
  11. Theodora

    Makofi mengi bungeni kwa Ndugai yanamaanisha nini?

    Sio wote wanaokupigia makofi wanakushangilia.
  12. Theodora

    Serikali yaombwa kuingilia kati unyanyasaji kiwanda cha SBC Tanzania, Uongozi wagoma kufafanua

    Yes maafisa kazi huzunguka. Lkn wazawa hushindwa kuongea...wabaya kwa 100% ni wahindi, wakongo na waitaliano...
  13. Theodora

    Serikali yaombwa kuingilia kati unyanyasaji kiwanda cha SBC Tanzania, Uongozi wagoma kufafanua

    Hali kama hii zipo sana makampuni binafsi lakini wazawa hatuna ujasiri kwa sababu ya kulinda ajira zetu. Unaweza kuwa na uthubutu wa kupaza sauti mwishoni ukabaki mwenyewe..
Back
Top Bottom