hapo ndipo kunapotokea mgongano na uhuru wa vyombo vya habari na mwananchi mwenye akili timamu anayejua haki yake ya msingi ya kujua habari, unaweza kuamini mpaka sasa mabomu ya machozi ya rushwa mawili kwa ajili ya kusambaratisha wananchi ambao direct wanahitaji kuchangia mawazo muhimu juu ya...
Kweli kaka ni shughuli nzima ya uchakachuaji ndio iliyotamba bungeni bu many of our parliament member they are not transparency to their society for the recorgnizing of their ressponsibilities and what he has performed.
Huyo jamaa ni njaa tu na unafiki ndio uliomjaa tht's y anajitoa kuharibu ngozi yake hvy vitu vinamadhara bwana Let us vote for DR. SLAA october 31/10/10
YES WE CAN!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.