Recent content by TABIANJEMA

  1. T

    CCM siipendi Lowassa simwamini

    endelea kutafakari... hivi ukiwa kwenye gari bovu likakwama utalisukuma ukiwa ndani yake au itabidi ushuke utafute lingine au fundi mpya akuasaidie.? unaonaje? umewahi kujiuliza kila baada ya miaka mitano unalipatia service, unapaka rangi , na mengine mengine, ukitegemea litafanya kazi yako...
  2. T

    Utapeli mpya,kuhusu Ujasiriamali

    Tanzania kuna fursa nyingi, ukitaka pesa toa fedha, nao ndio fursa yao. kuna watu wanafanyia kazi hayo mafunzo wanaendelea vizuri kabisa.
  3. T

    Utapeli mpya,kuhusu Ujasiriamali

    umewahi kufanyia kazi kile ulichofundishwa? unataka ujasiriamali gani kwao wakati fursa ndio hiyo kwao? watanzania bwana!!!! mnatishaaaaa. fanyia kazi kile unachofundishwa kwanza kuliko kuleta mada zinzoharibu uwezo wa mtu kujaribu, na kumkatisha tamaa.
  4. T

    Mzunguko siku 28, zipi ziku zake za hatari?

    sijawahi kutumia njia yoyote zaidi ya kalenda tu.
  5. T

    Mungu anajibu maombi

    ''Aonavyo moyoni mwake .... ndivyo alivyo'' omba mungu ujitambue wewe ni nani na umeumbwa kwa kusudi gani. think out of box. usikariri tu maneno na misemo ya mitaani, jifunze kuelewa jambo kwa undani ndiyo uje na hiyo generalization yako.
  6. T

    Mungu anajibu maombi

    nakupa pole, mungu akusaidie kuelewa hicho unachosema.
  7. T

    Mungu anajibu maombi

    Mkuu, tuliza kichwa nielewe, mimi nimesuport mleta mada ya kuwa kweli mungu yupo na anajibu. wewe na akili zako hizo ukadakia mambo ya hirizi... nikajibu ni kweli kama huna mungu wa hirizi watakupata tu. sasa nakuwaje sehemu zote? soma vizuri na elewa mada. usicheze na moto ulao.. neno...
  8. T

    Mungu anajibu maombi

    Mkuu, tuliza kichwa nielewe, mimi nimesuport mleta mada ya kuwa kweli mungu yupo na anajibu. wewe na akili zako hizo ukadakia mambo ya hirizi... nikajibu ni kweli kama huna mungu wa hirizi watakupata tu. sasa nakuwaje sehemu zote? soma vizuri na elewa mada. usicheze na moto ulao.. neno...
  9. T

    Mungu anajibu maombi

    unafikiri utakwepaje hizo hirizi wakati huombi mungu? shika sana ulichonacho... laa sivyo utaliwa kichwa na wenye hirizi.
  10. T

    Mzunguko siku 28, zipi ziku zake za hatari?

    naomba ushauri, nina hali ya kuona damu ya hedhi siku mbili au tatu kabla ya tarehe za hedhi , kisha inapotea kabisa, alafu baada ya siku tatu ndio naanza kubleed. hili ni tatizo gani na nifanyeje? sikuwa hivi limejitokeza hivi karibuni. naomba msaada kwa anayefahamu.
  11. T

    Mungu anajibu maombi

    ubarikiwe, siku zote mungu anajibu. AMINI acha kujichelewesha hata katika mambo mengine muombe mungu anjibu.
  12. T

    Msaada wa Orodha ya Wabunge wenye miaka 15+ Bungeni na bado wanataka kugombea ubunge

    Mleta mada nadhani hoja hapa ni licha ya kukaa miaka yote hiyo bungeni ni kitu gani amefanya/ wamefanya katika majimbo yao hadi waendelee kupewa kipaumbele. jiulize kama mtu amekaa ubunge miaka 15-20 lkn maisha ya watu wake yanazidi kuwa duni, hivi anapata wapi ujasiri wa kuendelea kugombea na...
  13. T

    Ni muda gani mtoto anastahili kupata Elimu bora?

    Mleta mada... uimara wa nyumba unaanzia wapi??? Usilete mada za kukwepa majukumu, peleka mtoto shule nzuri kwenye msingi. Ningeshukru kama ungekuja na mkakati ni jinsi gani tujadili hizi shule za msingi wapunguze ADA maana ndio janga kuu la kitaifa, lakini watoto lazima wapate msingi kuanzia...
  14. T

    Hivi kwanini watu wa Dar wanapenda kuwaita watu wa mikoani washamba?

    umewahi kuona shamba posta Dsm? hii ndio maana ya "washamba" wanaotokea mashambani. nadhani linatumika vibaya. kwahiyo ni lazima mtu wa shamba na posta au mjini kokote watofautiane. acheni malalamiko watz, wa shamba fanyeni kazi, bila ninyi hatuli jamaniii!
  15. T

    Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    Daaa ! Ukweli nimechoka hata kufanya kazi tena siku ya leo. nikiwaza na huu muda ninaopoteza kwenye foleni kila siku, mwisho wa siku hakuna kitu inachosha sana. kila la heri wabunge wetu. aliyenacho ataongezewa.!
Back
Top Bottom