Zitto binafsi pia namkubali miongoni mwa best mp's and l can put him infront of Mh. Mnyika. Lakin ndugu yangu umejibu kishabiki bila kuheshim michacho ya mh. Mnyika ambayo pia imemfanya watu wamuone kuwa naye ni best Mp. Sio kila mda ni wa kushindanisha watu tuuuuuuu. Kila mtu tumuheshimu kwa...
Huyu jamaa siwezi kumsahau kama ni majembe huyu jamaa ni jembe. Nikikumbuka mgomo mmoja hivi wa kupinga kuchangia 40percent, serikali nzima ya daruso ilirud nyuma jamaa akaongoza mapambano mwanzo mpaka mwisho. Pamoja na vitisho na kuitwa ikulu mara kadhaa jamaa alisimama imara! Naamini majukumu...
Nakumbuka zitto aliomba mwongozo kwa mwakilishi wa katibu wa bunge ambae wakiambatana nae kuhusu hili swala. Na huyo mwakilishi wa katibu wa bunge alisema PAC ina haki ya kuzipata hizi nyaraka zilizoombwa.
Inasikitisha pale ambapo unaona mhariri anaelezea jambo tena ambalo anajitetea yeye mwenyewe halafu anaacha maswali mengi na kuongoza doubt katika hilo jambo. Apa kuna mambo mawili either incompetence ya mhariri au kubadili ukweli kuwa uongo ni kazi. Nilikuwa 50-50, na sasa upande wa yericko...
Haya ndio maswali sahihi kwa mtu makini, na kwa mtindo huu ni rahisi kupata majibu sahihi kutoka kwa mtu makini. Na kama hivyo ndivyo basi hutamsikia mhariri akijitokeza kujibu na akijibu atajibu vitu vingine lakin sio hili lako mkuu.
Hapana sababu kuu haikua hiyo, mapato kwa mwez yaliongezeka kutoka bilion 28 mwezi september mpaka kufikia bilion 50 mwez december. Ni almost mara 2, sababu ya msingi ni kusimamishwa kwa maofisa 16 pale bandarini. Kwa hiyo mizigo nayo iliongezeka mara 2?
Ukisema hajafanya lolote unakosea, je wajua mapato ya tra bandarini baada ya mwakyembe kuichukua bandari yamepanda kwa kiasi gani? Usiendeshwe na hisia zaidi kuliko uhalisia. Isiwe tu ilimradi mtu atukanwe na kuchafuliwa, hajafikia kufanya vizur sana ila ktk wizara yake anajitahidi na kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.