Mimi nilifikiri kwamba hamlipwi kumbe mnataka mgome ili mlipwe kama wenzenu?
Mlishauliza kwanini kuna hizo tofauti ili mpate ufafanuzi? mlishauliza wenzenu wanafanya kazi masaa ngapi?
Hamuoni kwamba huu mgomo utakuwa na mgawanyiko?
Jamani,
Kwanza kabisa bunge kubwa sana tuwe na wabunge kama 50 tu nchi nzima.
Wakuu wa mikoa piga chini kabisa, wakuu wa wilaya ondoa wanamaliza pesa zetu.
Weka mtu mmoja kama administrator wa mkoa mzima ambaye sio Mwanasiasa atateuliwa kutoka serikalini awe na ujuzi wa Uchumi, uhasibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.