Recent content by stian

  1. S

    Elections 2015 Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba

    Nimekusoma vizuri sana Mchambuzi. Mchango wangu unalenga pande zote mbili, Chama tawala na Upinzani. kwenye swala la urahis sio lele mama, kuna mdau mmoja ametolea mfano kumpa dereva funguo wa gari then akushushe mlima kitonga, dereva kama atakuwa msanii itakuwa ni hatari. Ninachotaka...
  2. S

    Polisi Zanzibar: Sheikh Farid wa Uamsho hakutekwa; kufikishwa mahakamani

    me naona hapa ni kama unawapigia story viziwi, kila anaefuatilia mambo anajua kuwa shekhe alikuwa msanii, hajatekwa bali anataka kuwaaminisha watanzania kuwa serekali yao sio nzuri, mimi siungi mkono hilo swala. serekali ya chama cha mapinduzi ipo thabiti, haitetereki na haiyumbishwi na wahuni.
  3. S

    CV ya waziri kivuli wa mambo ya Ndani: Vincent Nyerere

    embu tuwe watu wazima. unajua kuna watu wengine upeo wao wa kufikiria ni mdogo. tunajadili mambo ya msingi ya kujenga taifa mtu analeta utani, embu weka cv yako wewe tuione? tuwe kama watu wasomi.
  4. S

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Nimekusoma sana mdau, na yote unayozungumza ni ya kweli but nataka nirekebishe sehem moja uliposema wakristo tunapata misaada ya kufungua makanisa, vigango na parokia kutoka vatican. Mimi ni mkristo tene mroma, sio kweli, huo utaratibu ulikuwa zamani. kwa sasa tunachangishana mpaka inapatikana...
Back
Top Bottom