Recent content by ssl

  1. ssl

    Huko nje Watanzania tunadhauraulika sana siku hizi

    Akili ndogo sana wewe. Elewa hivyo tu.
  2. ssl

    Siasa za utoaji PhD za Open University of Tanzania

    Tatizo unalalamika sana. Unacholalamikia ni non sense. Yawezekana uko chuo mwaka wa kwanza wewe. hujui ata umeandika nini. Chuo kikuu huria!!! Wanatoa elimu nzuri mbona!! Hahahahaaaaaa. Kila kitu huanzia kwako. Vyuo vyote vya TZ mfuno wa elimu ni uleule. Hahahahaaaa UDSM!!! hahahaaa, SUA ...
  3. ssl

    Kuwa tajiri kwa mtaji wa laki 3 tu kupitia ufugaji wa kuku wa kienyeji

    Hadithi Nzuri. Inavutia. Ikiwa katika giza nene la utekelezaji wake wa muda mufupi. Itabidi usubiri miaka mingi sana kufika hapo ulipokusudia
  4. ssl

    Kilimo cha Nyanya: Ugonjwa gani huu?

    Tumia Dawa yenye kiuatilifu cha Abamectin mfano Dynamec
  5. ssl

    Orodha ya Watumishi wenye vyeti vya Kughushi...

    Karibuni uku kijijini kwetu. Sisi tunakula milo mitatu kwa siku. hatujafoji maisha. Tunalima. Tunafuga. Tunatoa huduma. Tunafanya biashara. huku kuna raha. Sisi tunaijua kesho yetu kwa mtazamo wa kibinadamu. msiwaze sana. hamjazalilishwa. msiruhusi hisia za upweke ziteke maisha yenu. Hiyo ni...
  6. ssl

    Hivi wataalam wa kilimo toka SUA wana impact gani! Mbona hawasikiki?

    Mapinduzi ya kilimo siyo ya siku moja. wataalamu wetu wanafanya kazi nzuri sana ya kuelimisha watu. Nashauri wakulima tuwasikilize wataalam wetu kutoka SUA tusiwasikilize watu ambayo hawataki tusonge mbele kwenye kilimo chetu kwa kukataa matumizi ya GMO. wanataka turudi tulikoshindwa
  7. ssl

    Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

    Hayo maswali yote yamejibiwa kwenye hii story yangu.
  8. ssl

    Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

    Hao unaowaona wapo kwenye iyo program ya eneo dogo. nimewachukua wakiwa wamekonda. baada ya siku 90 mkuu njoo uwaone. Tarehe 17 April. naanza kuwalisha usiwe na mawazo ya walioshindwa.
  9. ssl

    Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

    Leo wewe ni masikini sana lakini umeweka lengo la kufungua shule ya chekechea. huo mradi unahitaji milioni 73. Swali la msingu kwako ni hili. nitaipataje iyo milioni 73. je kipato changu kitafika uko. chora njia ya kupata iyo milion 73 ili lengo lako lifikie hapo. hata kama itachukua miaka 17...
  10. ssl

    Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

    Said. that is how we do. ni rahisi kama ilivyo.
  11. ssl

    Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

    hiyo laki tatu. ni mfano tu. najua vipato havifanani
  12. ssl

    Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

    Mzee wa Hat trick. kama hujui kumimina maji kwenye chupa kubwa na mdomo mdogo maji mengi yatamwagika nje. ukiwa makini wakati unamimina maji kwenye chupa kubwa yenye mdomo mdogo maji yote yataingia na kujaza chupa. Akiba Akiba Akiba. ukiweka laki tatu kila mwezi kwa miaka mitatu una milioni kumi...
  13. ssl

    Ufugaji ni Utajiri, kilimo ni mali

    Mradi wangu sasa. unafika mwisho. Japo Mwezi wa Saba autafika kama nilivyo plan. Mwezi wa tano nauza iyo Bidhaa na kuingiza bidhaa mpya mwezi July. ambayo nitaiweka kwa siku 90 na kuiuza tena. Nimefanikiwa kuboresha mfumo wangu wa ufugaji. kutoka matumizi ya eneo kubwa sasa naweza tumia eneo...
Back
Top Bottom