Jamani siyo dola 20 na 25 tu inamaana kuwa dola 20 kwa square meter inategemea mteja ana square meter ngapi?
Mfano duka la kati ni square meter 30--50 unachukua 40* 20= 800 peleka kwenye Tshs, zidisha kwa 2200 utapata 1760000 kwa mwezi..... hapo unakuta umeme na generetor bado kulipia...
ACP Kedmon Mnubi Kamishina Msaidizi Mwandamizi. Hongera sana....tegemea pongezi zangu tena karibuniii......
Watu tumieni akili nafasi za teuzi zitakuwepo kila siku government is machinery system.....hope mmenielewaaa ....ukishindwa nenda gareji karibu yako uliza sifa za machine/engine
Lazima tujue ethics za kila eneo....ni sawa kabisa
Alivyosema Kanali....Dira linataka kufanya udalalii
Wa habari .....Anayedai haki aende kwenye kambi
Atapewa.....Hii ni Nchi siyo chama wala chuo raia
Namba moja tupo shida ikitokea hapa wengine mnafikiria mtakimbilia wapi wakati wengine...
JWTZ yakanusha taarifa za kuibwa kwa kifaru, lasema taarifa hizo hazina ukweli, lasisitiza ulinzi katika maeneo ya jeshi uko imara.
Hata hivyo Jeshi hilo limelitaka Gazeti la Dira kuomba radhi Mara moja wakishindwa kufanya hivyo hatua Kali na za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao.
My Brother Pascal:
Nikushukuru kwa andiko kubwa sina uwakika kama walimu wako wakipitia hapa watakumbuka insha moja kama hii....umewahi kuandika ukiwa shuleni.. Mimi sina shida na utetezi wakooo sanaa ila najiuliza why Julieth? katika wote walioondolewa hakuna aliyefanya kama Julieth?
Umepata...
Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firahuni. Jana kwa ujasiri mkubwa mzee mmoja six aliyekuwa waziri ametoka akitetea uongozi uliopita wa TPA na Bodi; shida ya kula mnasahauu hata kunawa. Mzee six alinufaika na uongozi wa TPA kinyume na taratibu nitaorodhesha hapa chini ili mzee na spika wetu aje...
[*=2]
ASHUKURIWE MUNGU MAANA INGEKUWA NI SIKU YA KAZI LEO TUNGEZUNGUMZA VIFO VYA WATU KADHAA KAMA SIYO MAJERUHIII KADHAA MAANA HUWEZI AMINI KILICHOTEKEA KWENYE JENGO ZURI LA KUVUTIA LA LPF MILLENIUM TOWER.
PAA ZIMA LA JENGO LIMEAMUA KUJITUMBUA LENYEWE NA KUANGUKA CHINI KAMA MAJANI YA MITI...
Jembe Mwakyembeee...Prof. Hawezi zama hizii kapoozaa Sana'a. Mziki wa kizazi hiki ni wa Mwakyembe' s type...namaanisha Prof Muhongo...na Dr Magufulii....Hii team mwamaa weee itauaaa mtuu . madalalii wote watarudi kwaooo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.