Recent content by Sipo

  1. Sipo

    Kwanini maeneo haya yalipewa majina ya hivi?

    Wajameni ina maana tunaishi kwenye mikoa tusiyojua maana ya majina yake. Come on please members
  2. Sipo

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    hahahahahaha inawezekana ila imebaki historia tu kwa sasa. Simbaaaaaaa hoyee
  3. Sipo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ana maana yake kuandika hivyo De Novo Ila haya mambo ya kitoto huwa namwachia MUNGU manake hata kwenye BIBLIA inasomeka kuwa ukishindana na mjinga utakuwa mjinga mara mbili yake
  4. Sipo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    huu ndio uhuru wa kuongea, kila mtu anaweza kuongea vyovyote atakavyo
  5. Sipo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hili la ID limetoka wapi tena? hahahahhahahaha
  6. Sipo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    that was a goal Dr. Masa, i still insist
  7. Sipo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    as well as clear goal Dr. Masa
  8. Sipo

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Unasikia mtani Belo, na hizi game zote mtafungwa hampati sare hata moja, at the end of the day utarudi kunipa thanks hapa kwa useful post
  9. Sipo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    senks kwa bonge la picha bra Arsenal wanacheza mpira mtamu bana wacheni utani nyie
  10. Sipo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    hahahahah huu mtaa mtarimbo umelaalaa doro bana wapoleeeeeeee kama niniiiiiiiiiiii
  11. Sipo

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    mpango huu unaonyesha wazi udhaifu wetu katika kuwaza na kupanga, huhitaji kufanya haya kwa nchi kama hii
  12. Sipo

    Ideas for valentine's day gift

    ......but you can buy my idea above there
  13. Sipo

    Dk. Mesaki: Ufahamu unavyokua duniani uchawi hufichika zaidi

    Peace Kinoma yule Mzee Anasema alishapanda ungo na kutaliii sehemu mbalimbali wakati anafanya hiyo PhD yake Lakini zaidi ukikwama kimasomo hata kikazi ni mtu mwenye ushauri mzuri tu. Kamsalimie kwake bana upate info zaidi
  14. Sipo

    Kwanini maeneo haya yalipewa majina ya hivi?

    Je na mikoa yetu majina yetu yana maana gani? Dar es Salaam Mbeya Tabora Mara Iringa Arusha Singida Kilimanjaro Ruvuma Mwanza Shinyanga Kagera Tanga Dodoma Rukwa Pwani Morogoro Mtwara Lindi Manyara etc etc
  15. Sipo

    Dk. Mesaki: Ufahamu unavyokua duniani uchawi hufichika zaidi

    Dr. Mesaki na wenzake wana kikundi chao uko Changanyikeni kinaitwa JITU i.e Jirani Tulindane. Ni kikundi cha usalama ni kama sungusungu vile Ni mtu mzuri kwakweli ukiwa na tatizo ni rahisi sana kwake kukusaidia kwa wale aliowafundisha watakuwa shahidi wa haya maneno yangu
Back
Top Bottom