Recent content by Sinamatata

  1. S

    Chadema wampa Kikwete 'siku tisa'

    Sababu ipi unajiuliza wakati majibu unayo. Je wasiwasi pia wa nini wakati CCM ilipata kura zaidi ya Milioni 5. Si zaidi ya Milioni 2 za Chadema au ni zile za kuchachua. Ingiwa sipindi kujihusisha na kinachoendelea, ila kwa taarifa kwa wasisi wasi wa wanaccm naanza kuamini kuwa watanzania...
  2. S

    Mitambo ya Dowans sasa kuwashwa - Waziri Mkuu Pinda

    Du Mhe. Pinda, Vipi boss wako umemjulisha nani mwenye mtambo!. Au umeamua kuingizwa mkenge. Kama Raisi hatambui wamiliki iweje tusaini mkataba tena!!!!!
  3. S

    Mitambo ya Dowans sasa kuwashwa - Waziri Mkuu Pinda

    Bora wewe kaka. Kubali yaishe, ila usije ukawa unatetea udini!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Ndugu yangu umeshindwa kuona uozo huu, eti kuna maslai ya Taifa. Iweje wanadai na huku kukiwa na wasiwasi wa kulipwa tena wakubali kuingia mkataba mwingine. Baba Pinda, Mhe. kuna haja gani ya kununua mitambo hii...
  4. S

    JK apaa kwenda Paris leo...

    Ndugu yangu haya ni mawazo ngando!!!!
  5. S

    Rais Kikwete ateua makatibu wakuu wa wizara

    Kama kawaida hatutarajii jipya kutokana na uteuzi huo. Sanasana ni kwa ajili ya kuendeleza ufisadi:decision:
  6. S

    [PICHA] CHADEMA Ndani ya Shinyanga

    Hongela sama, hizi ni salamu kwa mafisa!!!!
  7. S

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Maandamano yanaendeleaje. Je wauwaji (polisi) wanaonekana barabarani au wanasubiri hadi mwisho:blah:
  8. S

    Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Mwanza wa hosptali na maendeleo kwa ujumla kwa nchi kama ya kwetu iliyojaa ufisadi ni maandamano. Tafadhali usiache kutujuza kinachojiri
  9. S

    DOWANS wawasha Mitambo yao

    Ndugu zangu watanzania, mabibi na mabwana, vijana na watoto, huu ni usanii ulipitiliza, Je inaingia akilini mitambo yeye utata, mkataba uliokatishwa, kesi imenguruma na bado anadai fidia mitambo yake kuwashwa. Na huu ni kwa mkataba upi. Au ndo maana mhe. Kikwete kasafiri ili aje kusema simtabui...
  10. S

    Tumalizane na Mmiliki wa Dowans uzembe ulikuwa wetu

    Safi sana bw. Jatropha kwa kupendekeza huyu mwarabu kuwekwa Segerea. Nafikiri hili liko sahihi, lakini je sheria inasemaje. Na ninani ataamua wakati Bw. Safari tayari huko Ivory Coast!
  11. S

    Spika: Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto sio jambo la dharura!

    Ukweli ni upi, je ni kweli kuwa katika kipindi hihi Mhe. Kikwete kawekwa na jeshi. Katika hili, kama mkuu wa majeshi na waziri husika watashindwa kuwajibika, basi tuamini linalosemwa kuwa wanajeshi walinsaidia Kikwete kuchakachua matoke ya uchaguzi :mullet:
  12. S

    Nionavyo Mimi, ( Tafadhali soma na changia)

    ndugu unahitaji kupigiwa makofi :clap2: inagwa wengine watakubeza!!!!. Hakuna haja ya kuwa na wabunge ambao hata mara moja ni kupindisha ukweli kwa ajili ya kutetea maslai binafsi. Mfano mzuri ni wabunge toka upizani " NCCR na TLP" tuliodhani wamechaguliwa kuongeza nguvu, kumbe kelele zao ni...
  13. S

    More serious, natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati

    Mwenye mke je, huko tayari kuwa mke wa pili?
  14. S

    Pendekezo: SLAA APEWE UKUU WA WILAYA?

    Ndugu yangu, kwa sasa Dr. anashughulikia masuala muhimu kama vile Katiba. Kama uelewi Dr. Slaa ni nani waulize Tume ya Uchaguzi.
  15. S

    Makinda aanza kazi aliyotumwa

    Huu ndiyo wakati wa akina mama kupigiwa makofi :clap2:. Akishindwa kwa kukidhi matakwa ya waliomweka atakuwa amewadharaurisha akina mama wote. Kipimo cha akina mama kuelekea Uraisi ndo hiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! :A S 20:
Back
Top Bottom