Siku moja nilikuwa kitaa flani hivi nimechili ,ghafla ikatokea vx rangi ya dam ya mzee ikiwa kwenye mwendo wa kawaida ikakunja mpaka karibu na kibaraza nilipo chili mnyamwezi ikasimama ile kutahamaki mlango ulifunguliwa ikashuka bonge la pisi kali km shombe shombe flani hivi la kiarabu...
Ccm uchaguz mdogo wamedondokea pua vibaya, kaeni benchi kwanza waucheze wenzenu yaani kw ss ccm mmemshika kipofu mkono.....ccm bye..bye..nendeni kuzimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.