Recent content by SERGIO

  1. SERGIO

    Upepo wageuka: Sasa ni Jaji Ramadhani, Makongoro vs Lowassa

    Nakubaliana na wewe mkuu Meningitis. Salama ya CCM ipo kwa Makongoro kuliko kwa Jaji Ramadhani. Kwa maoni yangu Uzanzibari unam-knock out Jaji Ramadhani kwa sababu watanganyika hawatakuwa tayari kuongozwa na mtu kutoka nchi jirani ya Zanzibar. Kumbuka kuwa Zanzibar imeshajitangaza kuwa nchi...
  2. SERGIO

    CCM ikichagua mgombea kutoka Z'bar itaanguka!

    Zanzibar hivi sasa ni nchi kamili, kwa mujibu wa katiba yake. Hivyo Watanganyika (bara) wanaichukulia Zanzibar kama nchi jirani. Kwa mantiki hiyo haitakuwa rahisi kwa mgombea kutoka nchi jirani ya Zanzibar, hata awe na sifa zote, kushinda kura katika uchaguzi huru na haki wa Rais wa Jamhuri ya...
  3. SERGIO

    Ripoti ya tume ya Sitta vipi?

    Wallahi simjui Kipande wala mtu yeyote TPA. Najaribu kuwa mdadisi tu kwa vile nimesikia mengi kuhusu hili suala. Mimi ni mlalahoi tu ndugu yangu DuppyConqueror.
  4. SERGIO

    Ripoti ya tume ya Sitta vipi?

    Samwel Sitta, Waziri wa Uchukuzi, mara baada ya kuteuliwa kwenye wadhifa huo aliutangazia umma kuwa ameunda tume ya kuchunguza utendaji wa aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA), Mhandisi Madeni Mapande, baada ya kumsimamisha kazi kwa tuhuma mbalimbali. Baadaye alitangaza...
  5. SERGIO

    ACT-Wazalendo tangazeni sera za Chama chenu sio mtu

    Zitto ni tapeli la kisiasa, hana lolote huyo dogo. Kazi yake kubwa ni kuzusha mambo ili kurejesha umaarufu wake wa kisiasa uliopotea baada ya kufanya usaliti na kufukuzwa kule Chadema. Hata nyie mnaokurupuka kumshabikia kwa kulipwa pesa za CCM inabidi mjihadhari naye.
  6. SERGIO

    Dr. Mengi Ashtushwa na taarifa za kuiangusha serikali ya Kikwete

    Kwa hiyo huyo mzee sasa anamtisha Rais? Hivyo vijisenti vyake vinampa kichwa sana huyu chizi. I hope serikali itamshughulikia kama ilivyomshughulikia Gwajima.
  7. SERGIO

    Jukwaa la Wahariri na Rugemarila, Ushahidi kwamba wasafi ni wachache mno Tanzania

    Inaelekea wewe ni kanjanja mwenye chuki na Jukwaa la Wahariri. Kuna ubaya gani kwa wahariri kualikwa na Kampuni ya Rugemalira na kumsikia anasema nini kuhusu sakata la Escrow? Huoni kama hiyo ilikuwa opportunity nzuri kwa wahariri kumsikiliza mtu aliyetuhumiwa vibaya sana na Kamati ya Zitto...
  8. SERGIO

    Jukwaa la Wahariri wakalishwa Bagamoyo na Rugemalila, wahongwa 600,000 kila mmoja

    Sioni tatizo kwa VIP Engineering $ Marketing kuwaita wahariri na kuwaeleza upande wao wa habari ambao haujawahi kuandikwa kwa undani. Ninachojua taasisi yoyote inaweza kuwaomba wahariri kwa ajili ya masuala ya kitaifa. Kiutaratibu taasisi husika inapaswa kuwagharamia wahariri hao. Hicho kiasi...
  9. SERGIO

    Zitto amlipua Rugemarila wa Escrow

    Soma vizuri kuhusu huu mradi kisha urejee hapa. Wewe na Zitto akili zenu zinafanana.
  10. SERGIO

    Zitto amlipua Rugemarila wa Escrow

    Nawashangaa wahariri walioandika UONGO huu wa Zitto Kabwe. Wahariri wanajua ukweli kuhusu mradi huu. Sio kweli kwamba ni mradi wa serikali. Mradi huu ni wa watanzania wazalendo wanaoshirikiana, na kamwe haukuwahi kuwa mradi wa serikali. Hili suala la tenda Zitto Kabwe kalitoa wapi?! Huyu ana...
  11. SERGIO

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Ni wazi kwamba sasa Zitto Kabwe amechanganyikiwa! Baada ya kutimuliwa Chadema kutokana na usaliti, Zitto amejiunga na ACT, chama alichokiasisi tangu akiwa ndani ya Chadema (usaliti!). Hivi sasa anatafuta namna ya kujenga umaarufu kupitia chama hiki kidogo cha siasa kwa kuzusha mambo mengi ya...
  12. SERGIO

    Escrow Kimenuka: Uongo wa Taarifa ya Kamati ya PAC kuhusu sakata la ESCROW

    Zitto ni tapeli la kisiasa. Amelipotosha taifa kwa taarifa yake ya uongo huku akiwa amevuta mahela kibao kutoka kwa kina Stan Chart.
  13. SERGIO

    Escrow Kimenuka: Uongo wa Taarifa ya Kamati ya PAC kuhusu sakata la ESCROW

    Mchambuzi SALIM KHATRI alifanya kazi ya ziada kuweza kugundua uongo uliowasilishwa kwa mbwembwe bungeni mwishoni mwa mwaka jana na aliyekuwa Mwenyekiti wa PAC. Ni challenge kwa waandishi wa habari kufanya utafiti kabla ya kuripoti.
  14. SERGIO

    Nataka gari aina ya Passo

    Huwezi kupata Passo kwa bei hiyo. Bei yake inaanzia 6m/-.
  15. SERGIO

    Maoni yangu: TFF chunguzeni mechi ya Simba na Kagera

    Wewe inaelekea unaichukia tu Simba. Sijui kama uliuangalia ule mchezo?! Sisi tulioangalia runinga tuliona wazi (hasa kwenye replay) beki wa Kagera Sugar aliunawa mpira, na adhabu yake ni penalty! Kwenye replay pia tuliona kuwa Hassan Isihaka hakunawa, ingawa kwenye action ilionekana kama amenawa...
Back
Top Bottom