Recent content by senene.

  1. S

    Edward Lowassa ana nyota ya kupendwa, ni hatari

    Kila siku kuanzia mchakato wa uras uanze ,vyombo vyote vya habari ni LOWASSA tu kwa ubaya au uzuri wake,mitandaoni ni lowasa tu jamani nimekubali huyu bwana ni mwanasiasa mkubwa sana.Nafikiri kumlinganisha na MAGULI ni kosa mana ukiandika habari ya magufuli bila ya lowasa cku hiyo hautapata soko...
  2. S

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    huyu jamaa yuposahihi lkn hamumuelewi ukiwa kwenye shughuli za chama tumiavyombo vya chama ukiwa kwenye shughuli za serikali tumia vya serikali.Huyu bwana alikuwa akilalamikia matumizi ya mali ya serikali kwa shughuli za chama kwa mawaziri na rais sasa kinachomshangaza ni kimkuta aliyekuwa...
  3. S

    Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    huyu jamaa yuposahihi lkn hamumuelewi ukiwa kwenye shughuli za chama tumiavyombo vya chama ukiwa kwenye shughuli za serikali tumia vya serikali.Huyu bwana alikuwa akilalamikia matumizi ya mali ya serikali kwa shughuli za chama kwa mawaziri na rais sasa kinachomshangaza ni kimkuta aliyekuwa...
  4. S

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    safi sana zito kwa kuasisi chama chako,ungehamiavchama cha watu wangekufukuza tena.
  5. S

    Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    jjamani hata mimi baada ya zito kuachia ubunge,watu tisa waliamua kuondoka chadema hapohapo na kurudi ccm,chadema poleni kwa kugawanyika.
  6. S

    Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    cha domo kwisha kazi sasa chama act.
  7. S

    Mwamba wa kanda ya Kaskazini Laigwanani Mkuu kutangania kugombea Urais

    llowasa yupo imara zaidi,wapinzani ndo wanaotengeneza maneno kuwa ni mgonjwa.
  8. S

    Vigogo CCM wachezeana rafu za rushwa kumtoa Lema Ubunge Arusha mjini

    kweli mkuu lema pisha haujui chochote kuhucana na uongozi anzdwa na nasari katbu wake zamani.
  9. S

    January Makamba: Mlilia urais aliyeshindwa kuongoza Wizara

    kwakeli rais akiwa makamba anayeachia mashirika ya cm kutuibia wazwaz bc tutakuwa tumeliuza hili taifa.
  10. S

    Kikwete: Elimu ya Sekondari itakuwa bure kuanzia 2016

    kwakweli km ni kiwete kaongea hayo ujue n uwongo hakuna rais mwongo km huyu na mbunge medeye.
  11. S

    Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

    bilioni 5 hata miraji kikwete anazo na kununua nyumba km hizo je lowasa,mlieahi kumwandika sumaye kuwa ana matrilioni nje baada ya uchsguzi kimya,tafuteni uchafu mwingine huu timesha zoea tangu zamani.
  12. S

    Keissy alianzisha tena bungeni

    namuunga mkono kesy kwani wazenj wanakula bure kama makahaba.
  13. S

    Slaa na Lissu hatimaye wameonekana tena!

    nami sina mpango huo.
  14. S

    Lema na Msofe kituko Arusha!

    llema hata azindue chuo kikuu aliyojenga sitamwelewa kwakuwa haikuwa sehemu ya kampeni yake,mpaka kwanza azindue machinga complex mana ndo iliyomuingiza bungeni ndipo nitakapo mwelewa.
  15. S

    Lema na Msofe kituko Arusha!

    llema hata azindue chuo kikuu aliyojenga sitamwelewa kwakuwa haikuwa sehemu ya kampeni yake,mpaka kwanza azindue machinga complex mana ndo iliyomuingiza bungeni.
Back
Top Bottom