Recent content by Security Group

  1. Security Group

    Nafasi 100 za kazi

    Kampuni ya kimataifa ya ulinzi security group inawatangazia nafasi 100 za kazi kwa waliohitimu JKT tu. Mahali pa kazi ni Dar es salaam. Barua ziandikwe kwa: Meneja Mwajiri Security Group (T) Ltd P.O.Box 9390 Dar Es Salaam Kwa mawasiliano zaidi: 0784 781 525 Barua zitumwe kabla ya...
  2. Security Group

    Alarm Technician

    SECURITY GROUP T LTD ARUSHA BRANCH invites application from suitable qualified Tanzanians for position of ALARM TECHNICIAN QUALIFICATION 1. Must have knowledge of electronics and alarm system. 2. Ordinary level and above. 3. must be computer literate. 4. must write and speaks English...
  3. Security Group

    Nafasi ya kazi za Kazi Security Group (T) ltd.

    Kampuni ya ulinzi ya Security Group inatangaza nafasi za kazi ya ulinzi kwa wenye sifa zifuatazo; 1. Lazima awe raia wa Tanzania 2. Umri kuanzia miaka 21 hadi 35 3. Elimu kidato cha nne ambaye amepitia JKT (kwa aliyepitia JKT peke yake kama anazungumza kiingereza atapewa...
  4. Security Group

    JOB VACANCIES - Nafasi 100 za Kazi ya Ulinzi Security Group (waliomaliza kidato cha nne au JKT)

    Mkuu katika dunia ya leo hakuna kazi isiyo ya hatari, na hakuna kazi ambayo haihitaji usalama. Ulinzi wako na rasilimali zako ni wa muhimu. Unapoanzisha biashara yako au taasisi jambo la kwanza kuliko zote ni security.
  5. Security Group

    JOB VACANCIES - Nafasi 100 za Kazi ya Ulinzi Security Group (waliomaliza kidato cha nne au JKT)

    Maombi yanaruhusiwa kuletwa ofisini. Muda kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 10 jioni. Ni vizuri ukawahisha kuliko kuchelewa.
  6. Security Group

    JOB VACANCIES - Nafasi 100 za Kazi ya Ulinzi Security Group (waliomaliza kidato cha nne au JKT)

    Mkuu haina maana hiyo, ni taratibu zilizowekwa kwa majeshi yote, lakini unaweza kuwa mfupi lakini ukawa mpana halafu mkakamavu unaweza kuficha ufupi wako hapo. Karibu Security Group
  7. Security Group

    JOB VACANCIES - Nafasi 100 za Kazi ya Ulinzi Security Group (waliomaliza kidato cha nne au JKT)

    Mshahara kwa mwezi uko hivi: Basic - Tsh 150,000 + Overtime. Zingatia kuwa kwa kazi zetu za ulinzi OT haikwepeki, hivyo on daily basis askari anapata OT ya Masaa 4.5hrs mara siku alizofanyia kazi. Askari anafanya kazi siku 6 kwa wiki, siku ya saba anapumzika, hivyo mfano ameenda off 4 kwa mwezi...
  8. Security Group

    JOB VACANCIES - Nafasi 100 za Kazi ya Ulinzi Security Group (waliomaliza kidato cha nne au JKT)

    JOB VACANCIES Security Group, a leading Security firm with a presence in the East African Region invites applications from suitably qualified and experienced candidates for guarding. The place of recruitment and work will be in Dar Es Salaam. Candidates must be of Form Four leavers or JKT...
Back
Top Bottom