Recent content by Sam82

  1. S

    Hii ni Tabia ya Kiswahili ni ya hovyo na inakera sana

    Yooote yaliyopita ni chamtoto, hii ndo kiboko kweli. Umenifanya nicheke sana mkuu
  2. S

    Kwanini mwanamke ukimwambia ukweli akukubali??

    Ukweli siku zote humweka mtu huru na kwakweli inapendeza pale unapokuwa mkweli lakini tambua kuwa ukweli una gharama zake na ndo maana unauma au ni mchungu. Kila mtu anatamani kuwa na maisha mazuri, kama ukweli wako utamfanya ahisi kukosa maisha mazuri lazima akukimbie. Kila mtu anapenda...
  3. S

    Twin souls/flame ni nini?ni kweli inaexist?inatoka kwa shetani au kwa Mungu

    Pole sana mkuu kwa kutaabika huko lakini ni bora ukazungumzia nafsi yako maana waijua vilivyo na hakika nafsi hukwambia ukweli kuhusu wewe lakini bahati mbaya ni kwamba nafsi yako haiwezi kukwambia ukweli kuhusu nafsi ya mtu mwingine. Hivyo napenda kukushauri usijiaminishe kuwa unvyohisi ndivyo...
  4. S

    Afrika Kusini: Mchungaji Alph N Lukau afufua maiti na kuacha gumzo kubwa

    Ukimjua Mungu vizuri huwezi babaishwa na maigizo ya watu kwa kigezo cha dini. Mungu hufanya kitu ili utukufu apewe yeye na si apewe mwanadamu ila ukianglia watenda miujiza wa siku hizi wanafanya maigizo huku makamera yamejaa ili ulimwengu uwakubali kuwa wanaweza na kwa njia hiyo wajipatie...
  5. S

    Wanawake....let's be kind to men!!

    Umejibu vizuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. S

    Nimechoka sana na maisha

    Umenifurahisha sana rafiki, kana kwamba ulikuwa kwenye akili yangu. Hakika nisingepitia michango ya watu kwenye uzi huu na kukuta maoni yako huenda maandiko yetu yangefanana kwa 90% Barikiwa kwa ushauri mzuri rafiki yangu wa MMU Sent from my SM-J500F using JamiiForums mobile app
  7. S

    Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

    Kwanza kabisa nikwambie; kuumizwa na jambo usilolitegemea hasa katika mapenzi ni jambo la kawaida ila maumivu yakae kwa muda gani inategemea na maamuzi ya mtu. Moyo au kwa maana nyingine fikra za mtu huwa namna mtu anavyotaka ziwe, ukitaka usiumie hakika hautaumia na ukitaka uumie utaumia...
  8. S

    Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

    Sawa rafiki nashukuru, tutazidi kushauriana na wapendwa wa MMU kadri itakavyowezekana. Maisha yanawahusu watu, watu ni mimi, wewe na mwingine. Kila mmoja ana nafasi ya kumfanya mwenzake atabasamu.
  9. S

    Ushauri wako unahitajika: Kumbe mpenzi wangu ana mchumba!

    Kwanza nikupe pole sana kwa yaliyo kukuta rafiki mpendwa wa MMU. Wakati mwingine Mungu huruhusu tupitie maumivu ili tuweze kupata kilicho bora, ukweli katika mahusiano yako unapaswa kumshukuru Mungu sana tena sana kwa kukuonyesha ni namna gani huyo binti hafai kuwa Mke bora kwako, Mshukuru...
  10. S

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Kesi ya mwanamke usimpelekee mwanamke maana huwezi jua kapitia nini kwenye mahusiano ambayo amewahi kuwa nayo, hivyo nashauri uzungumze naye wewe mwenyewe kinaga ubaga rafiki tena seriously. Huyo ni mke wako siyo hawara wala girl lover.
  11. S

    Mapenzi hayajawahi kuniacha salama moyo wangu umejaa mapenzi ila nimeshaathirika kisaikolojia naogopa kupenda tena

    Kwa imani hii uliyo nayo kama haya usemayo yatoka moyoni na hayana chembe ya utani wala unafiki basi nakuhakikishia utapata mume bora kabisa.
  12. S

    Kwa madereva: Tuliowahi kutokewa na mauzauza barabarani tupeane uzoefu

    Mkuu pole sana, mshukuru Mungu kwa kila jambo maana yeye hujua kila wazo, tendo na kusudi chini ya jua. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    Nadhani kuna Kitu Mtangazaji Diva The Boss wa Clouds fm anatutafuta Wanaume na soon atakipata

    Je na hao atakaowagawia huo uroda wanamfanyia hayo mambo saba??? Huo ni mtazamo wake na aina ya maisha aliyochagua. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom