Recent content by Saibog

  1. S

    Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Bonge la stori iliyojaa mafunzo. lara 1 asante kwa stori.
  2. S

    Tuliofanya usaili TPDC mwezi Mei majibu ni lini?

    Ebwana mkuu kuna tetesi kuwa watu waliitwa Ijumaa tarehe 5/Septemba. Kwa yeyote mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze.
  3. S

    Mchumba wa mpenzi wangu anataka kunilipa ili waendelee na taratibu za ndoa.

    Huna ujanja hapo mzee. Wewe ongea vizuri dau lipande kidogo uchukue mpunga usepe.
  4. S

    Mahaba yangu na house girl...

    Wewe naona hujawaza vizuri maisha yanavyobadilika. Ukioa huyo msaidizi wa kazi baada ya muda atajifungua, naye atahitaji msaidizi. Msaidizi atakuwa anafanya shughuli nyingi kushinda mama. Hapo unafikiri ni nini kitakuzuia kutompenda huyo msaidizi mpya?
  5. S

    *Anataka mambo ya pwani*

    Jiunge na kabang ukiona huifurahii basi rudi airtel yatosha.
  6. S

    Sugar mummy anavyonipelekesha.

    Timiza wajibu wako....wewe ni mariooo kazi yako ni ushughulike sawasawa. Ukiona anakupelekesha sana jitoe ulingoni uyakose yalokuvuta kwake.
  7. S

    nipepo kaniingia au nn?

    Hapo nilipoweka rangi nyekundu ndio jibu la tatizo lako. Vile uko tayari kuvumilia wewe vumilia tu hadi utakapochoka.
  8. S

    Je ni mapenzi ya kweli au tamaa ya mali mamiss na vizee!

    Mwanamke kuolewa na mwanaume aliyemzidi sana umri hakuna tatizo so imekaa poa. Cha msingi wapendane tu.
  9. S

    Star TV na ITV kujitoa rasmi Startimes muda si mrefu!

    Mbona unasema stori za vijiweni wakati sisi tunaona tangazo (banner) likipita kwenye screen kuwa star times wanatuarifu startv imejitoa katika orodha za chaneli zao.
  10. S

    Uwiii napata kiraruraru

    Ikiwa kweli kuna mtu unampenda wala si tatizo....manake kupenda kunakwenda na kusacrifice. Ukipenda unaweka nukta unasema sasa basi sitaki tena habari za kuwa na kila anayevutia macho yangu. Ukiamua hivo itakusaidia. Kama huwezi basi usiidhulumu nafsi yako.
  11. S

    Mke mwema ni yupi kati ya hawa niliokutana nao?

    Imeandikwa mke mwema hutoka kwa Mungu. Ushauri wangu sali uombe Mungu akupatie mke mwema au utumie akili yako uchague.
  12. S

    Inbox ya mchumba wangu inameseji nyingi za kutongozwa za wanaume

    Wenzio tukiona tuliye naye hatongozwi tunakuwa hatuna amani. Tunajiuliza inamaana nimebeba mzambia au ni kimeo kiasi kwamba hakuna anayemtaka?? Mimi nakushauri utulize moyo. Manake hata ukimwacha ukatafuta unayefikiri hatatongozwa utashangazwa zaidi. Cha msingi ni uwe na mchumba mwenye msimamo...
  13. S

    Natamani kuvuta bange!

    Tatizo si bangi.....tatito ni sababu inayokupelekea kuvuta. Vitu kama bange vina kiasi ambacho usipozidisha haviwi na madhara makubwa. Kutokana na hiyo sababu yakutaka kuvuta ili urelax inawezekana ukajikuta siku zinavyoenda unaongeza kiasi cha kuvuta kadri unavyoizoea na kukupelekea kuwa...
  14. S

    Ebu skia hii!!

    Labda si dharau ni upya ulikuwa unakuzuzua....si wajua kipya kinyemi??
  15. S

    KUmbe Eti Kuna Bikira Feki Bwana...Mweeeeee!!!!!! Nyie Watu Nyie!!!!!!!!!

    Mimi sijaelewa hapo kwenye kutoa vumbi. Naomba unieleweshe ukimwagia maji inakuwaje litoke vumbi.
Back
Top Bottom