Recent content by sahim1

  1. S

    Ina maana Kikwete alikuwa hana macho au na yeye alikuwa mpiga dili?

    Mwenyewe rais anasema ktk hutoba zake kuwa nchi imechezewa zaidi ya miaka 50 akimaanisha tawala zote zilizo wahi kutawala kuazia mpigania uhuru baba wataifa, mzee mwinyi, mkapa, kikwete. Mleta mada anapo muangushia zigo kikwete tu nadhani anayake zaidi ya haya aliyo yaanika juu ya kweta. Lakini...
  2. S

    Edward Lowassa atakiwa kuripoti haraka sana kwa DCI

    Aroon...Uislam wa kikwete hauna uhusiano na katiba na sheria za jamhuri ya muungano wa tz. Yeye alikuwa rais wa JMT hakuwa rais wa waislam tu na alikuwa na wajibu wa kuilinda na kuiheshimu katiba ya JMT kama alivyo kula kiapo. Usiuhusishe imani ya rais na watuhumiwa wajubu wake ni kuilinda na...
  3. S

    Zanzibar ndiyo inayokwamisha ujenzi wa Taifa letu

    Kila kitu ni msingi bila msingi imara na madhubuti hakuna uimara wa jambo husika. Muungono wowote huwa ni bora lakini munao ungana muwe na nia moja iwe ni muungano wa nchi na nchi au kibiashara na hata wa kimapenzi. Kama kutatokea muungano halafu kukawa na nia tofauti ya nia ktk muungano lazima...
  4. S

    Dola ya Kiislam yatangaza kuhusika na shambulio la Manchester, Uingereza

    Umezipost wapi mm sijaziona. Nataka ufahau hata sheria za nchi zipo zinazo ruhusu kuuwa achilia mbali dini kama uislam au ukiristo nk. Lakini ninani anae uliwa ni mtu aliethibitika na kosa lenye hukumu ya kuuwa? Kwahiyo uislam unaruhusu mtu kuuliwa pindi mamlaka za kiislaam zikithibiti kosa...
  5. S

    Dola ya Kiislam yatangaza kuhusika na shambulio la Manchester, Uingereza

    UISLAM unakataza kuuwa na kufanya dhulma ya aina yeyote ile. Hakuna ktk quraan panaporuhusu mtu kumdhumu binaadam mwenzake iwe uhai au mali nk. Hakuna aya ktk quraan inayo toa fursa kwa ugaidi au muuwaji yoyote yule. Usiuchafuwe uislam kwa kosa la muislam nakama unachukia muuwaji kweli basi...
  6. S

    Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

    Mwakajembe kama kuna mtu anahusisha uislam na ugaidi wala sio tatizo huo utakuwa ni mtazamo wake binafi. Lakini kama na ww umo ktk hao basi mm nataka kukuambia uislam sio mtu sio taasisi wala taifa UISLAM NI QURAAN. Kama wako waislam magaidi huo ni wakwao binafsi ingawa mm sijui maana ya...
  7. S

    Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

    Usipate tabu ya kutaka kujua sheria watakayo tumia ww jiandae kuanzia tar 29/05 nenda znz anza kula tokea kwenye boti au ndege mpaka unapo fikia ww kula tu wakikutia mkononi ndio utapata jibu lake.
  8. S

    Watanzania wazuiwa kwenda Oman kufanya kazi

    Kwa kuwa waislam wengi wetu hatukusoma na hatukuweza kugushi vyeti kama wasio waislam.
  9. S

    Humud Mohamed Humud: Aliyemtwanga risasi nane Mzee Karume; kila risasi kwa mwaka aliotawala

    RUBAWA...MM napita tu mpa salam mzee ujuku...
  10. S

    Kiongozi mwema Sayyid Khalifa bin Haroub 1879 - 1960

    Nia yangu nikujua sio ushindani lakini nahisi ww unadhani mm nahitaji ushindani. Basi mm nimefikia mwisho mzee wangu. Nimetosheka na majibu yako jazaak lkheir..
  11. S

    Kiongozi mwema Sayyid Khalifa bin Haroub 1879 - 1960

    Mzee muhamed swali langu linatokana na maelezo yako ya awali huko mwazo mwa post hii. Nanukuu...Alipo kuwa uingereza aliulizwa.. "Je nchini kwako kuna siasa za vyama vingi vinavyoshindana huenda wale wakagombana wasiwafikiane? Mwisho wa kunukuu. Ndio maana nikakuliza swali lile,
  12. S

    Kiongozi mwema Sayyid Khalifa bin Haroub 1879 - 1960

    Mjadala pia ni darsa mzee muhamed. Mjadala pia ni fursa ya kujua usio yajua.
  13. S

    Kiongozi mwema Sayyid Khalifa bin Haroub 1879 - 1960

    Wakati wa utawala wa sayyid khalifa je kulikuwa na vyama vingapi vya siasa?
  14. S

    Kiongozi mwema Sayyid Khalifa bin Haroub 1879 - 1960

    Mzee MS naomba nikuulize kitu nisicho kijua hivi hawa watu wanaoitwa wakoloni waliotawala hizi nchi za kiafrika ikiwemo hii znz waliruhusu siasa za vya vingi ktk nchi walizo zitwala kwa wakati wanatawala? Nakama waliruhusu ni nchi zipi hizo? Na kama waliruhusu mfumo wa vyama vingi kama ingetokea...
  15. S

    Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

    Hapa kuna vita tutasikia hizi kelele tu unazo ziita mipasho. USA ili aipige IRAN nilazima atokee ktk ardhi za waarabu. Na waarabu wote wanamuogopa Muiran ikulu ya tehran imeshatoa matamko mengi tu juu ya nchi itakayo ruhusu USA kutumia kurusha kombora tehran. Tehran imesema ikipigwa na usa...
Back
Top Bottom