Recent content by sabe

  1. S

    Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

    Hiyo kauli inatoka mdomoni au rohoni? utakunywa tu, we endelea kusubiri tu, simmezoea uchakachuaji
  2. S

    Namlilia Julius Mtatiro...

    Mtatiro ni wakweli, kama haumini kamuulize Prof. Maboko atakwambia,
  3. S

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    Hii ndio Bongo, kuweni wapole hadi 2015
  4. S

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    Hachana na hizo post zinawenyewe hizo, kwani usiwe mwandishi wa habari upate kipato chako halali? shauriako my .. was there? hapafahi kabisa kama hauna network yakueleweka, fikiri hata ualimu m2 wangu riziki ni kokote au haulifahamu ili kama vipi kuwa hata karetia si umesema upo vizuri?
  5. S

    Bora wakati ule tulipokuwa na Rais Lowassa

    Hata mimi namuunga mkono huyu jamaa, offcoz Edward ni mtu aliyekumbwa na kASHFA ya Richmond but yupo vizuri mno katika uchapakazi kushnda huyu Bwana Mizengo. wewe mwenye fikiri tangu unasoma shule ya msingi hadi hapo ulipo sasa, walimu wako walikuwa wanakwambia Waziri Mkuu ndio mtendaji Mkuu wa...
  6. S

    Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

    Any but he or she should be came from CDM. Au mnasemaje wazee?
  7. S

    Kesi ya Ridhiwan against Dr. Slaa na Mtikila

    Haogopi wapi? Anajistukia tu huyo, Hana ushahidi huyo jamaa.
  8. S

    Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

    Mtoto huyo anatisha, hivi inawezekana kweli akawa anamiliki ki-ekari 1.5 na kabajaji aina ya -soloon? mmh
  9. S

    Bajeti ya Mishahara kupanda kwa zaidi ya asilimia 40!

    Watapunguza kwa asilimia 40%
Back
Top Bottom