Recent content by Rubuye123

  1. R

    Mwanamke huyu anadaiwa kuwa nyuma ya mafanikio ya Dokta Cheni

    Bwege alishaniomba nimkaze huyu..takataka
  2. R

    Kagere afukuzwe Tanzania

    Iliweza kumtokea Roberto Baggio fainali ya World Cup,ikamtokea John Terry Finali ya UCL eti iwe ajabu kwa mnyarwanda mmoja kwenye Bonanza la kisiasa Zanzibar?watu wamejaa upumbavu mpaka kwenye kope aisee
  3. R

    Kagere afukuzwe Tanzania

    Kennedy Juma pia aliizawadia Singida bao la bure sababu ni waajiri wake wa zamani au sio??so nae tumfukuze??
  4. R

    Simba walikua na faida ya refa na wachezaji wao wa zamani

    Unafahamu vema kuwa Kennedy Wilson Juma ni mchezaji wa zamani wa Singida??Kwahiyo ile "assist" yake kwa Rupia,tena bila presha yoyote,akiwa kwenye boksi lake la 18 iliuwa ni kwasababu ni mchezajiwa zamani wa Singida??Nchi ina watu wana akili chache kweli hii
  5. R

    Hatimaye Siri za ATCL zaanza kuvuja, ni kuhusu ndege ya Bombardier

    Hii sio ya Magu. Hii ni pamoja na lile dubwasha lilioanguka Kigoma zamani.haya yalikuwa way before Magu
  6. R

    Hatimaye Siri za ATCL zaanza kuvuja, ni kuhusu ndege ya Bombardier

    Unadhani hawaelwi??sema tu stori ikiwa hivyo na ukweli ""haiwi tamu""
  7. R

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Huyu demu anaumwa ukweli afu watu wanamcheka tu.Asaidiwe apate tiba ya afya ya akili aisee..
  8. R

    Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Mi bwana swala la kufosi fosi dhambi lilinishinda toka uvulana aisee.kama hataki aache,kamata kitu next hapo
  9. R

    Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

    Na wale wa baiskeli za umeme,wanajifanya wako Pemba. simu yao haijwahi patikana hata mara moja
  10. R

    Mbeya: Umati wa Wananchi wajitokeza kusikiliza kesi ya Mkataba wa Bandari Mahakamani

    Eti "maelfu",afu wakakaa wapi hapa kweney kibarabara kidogo hiki hapa forest??Mnongeza sana chumvi na kuleta upotoshaji usio kuwa wa lazma.Kiini cha habari kizuri na kina maana ila hakukua na sababu ya hizi exaggeration zisizokua na msingi
  11. R

    Tanga Pazuri Sana Sema Sijui kwa Nini Pako Vile

    Mtoto flani wa kidigo yule na yule butterfly nyuma ya kiuno pale CRDB Madaraka..hakyanani Tanga Raha. Tatizo shirki bwana.wanapuliza mno wale
  12. R

    Ni kweli hali ngumu na umaskini ni fedheha lakini tujiepushe na utajiri wa shortcut, utajuta sana, kafara ni lazima

    Huyo dogo pichani anajinasibu kwa uwazi kutoa pesa kwa uchawi na nguvu za giza,anafanya visomo na huwa ana demonsrate kabisa live huko mjini Instagram.Nafikiri zina uhusiano wa moja kwa moja na mada ilioletwa mezani
Back
Top Bottom