Recent content by queenlishas

  1. queenlishas

    Natoa mikopo ya dharura kuanzia Tshs laki 5

    Mtoa mada rudi tupate majibu
  2. queenlishas

    wangapia watajibu.....

    Dada zenu na watoto wenu wakike waje kutendwa kama mnavowatendea wasichana wengine.... Wanaume wangapi watajibu eimeeen!!!!
  3. queenlishas

    wangapia watajibu.....

    Mukuje mana mnachonga sanaaa
  4. queenlishas

    Biashara ya kutengeneza na kuuza "Askrimu" (Ice Lollies)

    Mie naomba nifahamishwe jinsi ya kutengeneza za maziwa natengeneza za ubuyu na ukwaju ila wateja wanataka za maziwa. Yanatumika ya unga au? Vipimo maji sukari maziwa je? Natanguliza shukran
  5. queenlishas

    Mwanamke anapokua Lesbian (Msagaji), kwani wanaume hawamtoshelezi?

    Mwanaume anapokua shoga kwani wanawake hawawatoshelezi?
  6. queenlishas

    Najuta kuwahi kuoa, mke wangu hanivutii tena

    Ye mwenyewe kakuchoka anakuvumilia tu kwa kua mnawatoto pamoja. Mianaume mingine sijui ikoje:mad:..yaan unakuja jf kuandika pumba ivi ili nani akusifie? Wengine wanafurahia mke anaependa asili yake ndo mpango mzima we untaka wakichina wale akinawa uso unajiuliza ndo yeye au mwingine.
  7. queenlishas

    Kwanini wanawake msingekuwa mnajiheshimu mkaolewa mkiwa mabikra?

    KWANINI WANAUME HAMJIHESHIMU MKAACHA KUTONGOZA OVYO ILI MUOE MKIWA BIKRA. SI MWANAMKE TY ANTAKIWA KUWA BIKRA ATA WEWE. :rolleyes:
  8. queenlishas

    Fahamu kwanini limbwata huwekwa kwenye papuchi

    Siku saba!!!!! Si utakuta funza kwa papuchii:eek:
  9. queenlishas

    Sijamtongoza kanipa penzi, hali hii tutapata wanawake wa kuoa kweli?

    M Mlijikuta, sasa mbona wawai kutoa mashtaka uku mbona ye ajashangaa mana mmemegana wote ajamegwa mmoja.
  10. queenlishas

    Ni changamoto gani mwanamke unakumbana nazo kumlea mtoto peke yako?

    Challenges ni nyingi my dear..ila kwanza kubali kudharaulika mana wengi uwa wanajua sababu ya wewe kua single mother uhuni. Pili mtoto anapoona wenzake na baba kwa (yule mwenye ifahamu) lazima ataabza kuuliza Tatu chochote kibaya akitenda mtoto kwa bahati mbaya utaskia sababu analelewa na mama...
  11. queenlishas

    Viwanja viwili vinauzwa vipo Mbezi Lois na Kifuru

    Bei Gani icho cha kifuru?
  12. queenlishas

    Hiki ni kitu kinachonikera sana wakati wa game, wewe ni kipi?

    Acha uoga kaka mpe uhuru maana kunako game mtu ujikuta anashika popote..jiamin mana sizan kama anaweza Fanya tofauti na matakwa ni njonjo tu.
  13. queenlishas

    Russian wife

    Chicken breast!!!!!!!!!!!!?
  14. queenlishas

    Bado ananipenda kweli?

    Samahani wewe ni me au ke? Naona father superior na katika story umesema mwenzako ""anaitaji kua huru tu ingawa Hana msichana mwingine""
Back
Top Bottom