Recent content by ps2 2014

  1. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    389 days so far Sent using Jamii Forums mobile app
  2. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Days so far Siku 384 Mwaka mmoja na siku 19 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Days so far Sent using Jamii Forums mobile app
  4. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Mapambano ni almost zero ( mepesi kabisa) mwili haupo addicted tena,sana sana ni kujihadhari tu(ni kama sijawahi kuwa ktk tatizo hili) Ni Siku ya 373 ( mwaka 1 na Siku 8) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Asante kaka,tupo wengi wenye visa hivi,lakini tutambue kwamba inawezekana kuacha,japo sio kiwepesi hasa mwanzoni. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Nayaheshimu mawazo yako mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Ni kweli ulichosema kaka,nashukuru kwa pongezi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Siwezi kujidanganya mwenyewe kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  9. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Mpaka sasa sijafa kaka,ninayo maisha tele,namshukuru Mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Kwanza siwezi kujidanganya mwenyewe,pili kitu kupendwa na wengi haimaanishi ni kizuri. Hata shetani anapendwa na wengi japo hajawahi kuwa mzuri Sent using Jamii Forums mobile app
  11. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Ni kuamua kwa dhati na kujitoa kwelikweli,utafanikiwa,mwili utazoea namna nyingine ya maisha baada ya muda. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Usisahau upande mwingine wa shilling ( hasara) Sent using Jamii Forums mobile app
  13. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Kukubali tu,ni kama MTU akifa utamfufua? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Hizo ni fikira zako,fikira zako haziwezi kuwa zangu..ukifanikiwa kuwa na fikira zangu utaweza,goodlucky Sent using Jamii Forums mobile app
  15. P

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Kama unaona ni safi kwako endelea,ila ukiona mbaya mbinu ya kuacha nimekupa hapo juu.kwangu mm ni mbaya. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom