Recent content by pendael

  1. P

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Elnino, Habari za shughuli. Ningependa kujua hali ya mahindi yako. Yanaendeleaje? Unategemea kuvuna lini?
  2. P

    Ardhi ya kilimo

    Ninatafuta ardhi kwa ajili ya kilimo cha matunda katika mikoa ya pwani. Naomba mwenye taarifa anijulishe. Ningependa sehemu isiyokuwa kame.
  3. P

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Nakushauri utembelee wanunuzi wa kuku aina unayotaka kufuga kuweza kupata uhakika na ukubwa wa soko. Unatakiwa kupata taarifa za soko la kuku kwa msimu mzima wa mwaka. Kama kuna kuyumba kwa bei unatakiwa kujua vema. Pili tembelea wafugaji wanaofuga maeneo yako kupata gharama halisi za uzalishaji...
Back
Top Bottom