wajueni kuwa mara kwa mara nacheki hizi forums ili kujua watu wanajadili mada gani za kihistoria. Ningefurahi kabisa kukukumbuswha na zile stori za ikulu na Mwalimu Nyerere. ... Kumbukumbu za Joan Wicken zimechapishwa sasa na Mkuki na Nyota (zinaelelewa vizuri katika biografia ya Othman, Kamata...
Waheshimwa, nafurahi kutangaza kitabu kipya kuhusu Mwalimu Nyerere na siasa za miaka ya kwanza baada ya uhuru. Kwa bahati mbaya hardcover inayopatikana sasa ni gharama sana, lakini nategemea softcover itakuja kwa bei nafuu.
Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and the Establishment of...
Wana-JF, Naomba msaada kutambulisha ni tokeo gani katika picha hii. Naikadhiria kuwa 1964 lakini inaweza kuwa kabla au baada ya hapo. Nawatambua Oscar Kambona, Rashid Kawawa, na Mwalimu Nyerere, lakini siwafahamu wengine, wala kujua askari mzungu ni nani. Asanteni kwa msaada wowote. Paulo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.