Recent content by Patty B

  1. Patty B

    Na hiyo nayo imekaaje jamani?

    Sure aisee...!
  2. Patty B

    Felsita wa Kapuya: Sikubakwa na Kapuya bali nimezaa nae mtoto, nilitumwa na wanasiasa ili nimchafue

    Hii ishu imeibuliwa kuifunika ishu ya Dr. mvungu..! Ingekuwa kweli mshkaji angeisha dhibitiwa...kuna some sort za uzushi!
  3. Patty B

    JWTZ naFFU waingilia maandamano Mtwara

    Sasa kupita na kutawanya watu kwa kupiga na mabomu ni sawa...fikiria bana kabla ya kucomment
  4. Patty B

    Wazinzi hili ni somo tosha kwenu, mweeee!

    bado sana swala la kufundisha kitu kisichoonekana!
  5. Patty B

    Pongezi kwa Sam Maela juu ya Beatrice Kantimbo kupona mguu wake

    Yeak amefanya kazi nzuri sana, hope atafika mbali mana anaitumia vizuri media.
  6. Patty B

    Ulinzi Mkali kwa Kesi za Viongozi wa Kiislam, Usawa Uko Wapi?

    halafu mara nyingine huwa nawashangaa sana hawa watu, huo usawa wanaousema ni ule ule unaofahamika mpaka kwenye kamusi au wana maana yao? Hivi na waliochomewa kanisa wakitafuta usawa kwao kwa kuchoma msikiti itakuwaje..mie huwa siwaelewi kabisa...they are best in complein..muwe mnapima...
  7. Patty B

    Ulinzi Mkali kwa Kesi za Viongozi wa Kiislam, Usawa Uko Wapi?

    Kweli ndugu yangu nakusifu kwa kuliona hilo na kutambua kuwa kuna ulinzi mkali..haswaaa hilo ndo linalotakiwa kwao kwa sasa. Historia na matukio yanayowahusu ndio yanayosababisha nakulazimu kuwe na ulinzi huo..wenzetu wale huwa hawana subira wa stahaa kujua kila shughuli ina utaratibu fujo kwao...
  8. Patty B

    Dk Salim akiona ‘cha moto’ Zanzibar; Akusanya maoni amesimama

    Kutoa viti haikuwa suluhisho la hitaji lao la kutofanyika kwa kikao..ni upungufu wa kuelewa tu, wangeenda kuongea wasikike katika kikao na kamati.
  9. Patty B

    Nini msimamo wa wa Tz BARa kuhusu Muungano uliopo?

    Sasa Mandi umeona nimeweka msimamo wangu hapo...mbona unakurupuka hivyo..mie nimetoa mtazamo wangu tu. Kimsingi siupendi muungano kabisa, kwa sasa hali ya usalama tanganyika tunajimudu sio kama mapoyoyo ya huko wasiojua mbele wala nyuma zaidi ya majambia tu!
  10. Patty B

    Saikolojia: Namna ya kutambua tabia ya mtu

    Naam nimeipenda hiyo...!
  11. Patty B

    Mshahara tayari kwa watumishi wa umma

    Safi sana..Lakini swala la kushukuru la nini sasa, wangekuwa wanatoa mshahara na ki'note' cha kukushukuru kwa kufanya kazi sawa na sie tungestahili kuwashukuru kwa kutupa mshahara mapema...! Kazi yao hiyo haihitaji shukrani, kila mtu afanye wajibu wake!
  12. Patty B

    Nini msimamo wa wa Tz BARa kuhusu Muungano uliopo?

    Siku huu muungano ukivunjika ntashangilia sana mana ishakuwa kero sana...hasa kutoka kwa wazanzibar! Jamani nimesoma nao hawa watu,,,hahaha ni wabinafsi na wabaguzi sana, ukianza jadili hoja ya Muungano bado hawana hata hoja za kusimamia!
  13. Patty B

    CCM yawaruka Mussa Mkangaa na wenzake

    CCM wasiwe wanafiki kiasi hicho, kwani hawakuweza weka hadharani madai hayo tangu awali kesi inafunguliwa..mbona viongozi wao wajuu wanajivunia sana kuchukua vitongoji na mitaa iliyokuwa ikishikiliwa awali na CDM..! Waache unafiki kabisa...imekula kwao...na tunahitaji tuone nguvu ya mahakama...
  14. Patty B

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Ukiona mtu anajikuna basi kaguswa...mpaka imefikia kulifunga basi serikali imeona ukweli unazidi kuwekwa hadharani...hima hima magazeti menginefungukeni kwa speed kuanika ishu za hawa wakuda...watafunga magazeti lakini uelewa hautafungwa...!
  15. Patty B

    RPC wa Kilimanjaro - Ng'hoboko hatunaye tena

    Ni njia ya wote hiyo...Ametangulia tutamfata..hakuna aliye bora zaidi!
Back
Top Bottom