Mhhh kumbe hayo ndo matusi vilumumba vinakuja hapa kusema sugu alimtukana mzaliwa wa nzera geita na muamihaji wa chato? Ndo maana tukiwambia wasema hapa hayo matusi hawawezi kusema.Lumumba hovyo sana
Sema kosa lenyewe basi nasiye tujue.Kma ilifikia wakati hakimu anasema mbele ya Sugu kuwa kesi yake inampa wakati mgumu huwezi kujiuliza.Jiulize basi jk na uchafu wake wote hakuwahi kupiga kiasi hicho.Badala muulize 1.5 zilienda wp nyie mnakomaa na mwandosya na sugu
Ulivyo na wivu ati mwandosya anatibiwa na serikali mara aliteuliwa na magufuli kuwa mlezi wa chuo.Kwa hiyo unataka kipara ngoto amfanye nini prof? Uzi umekaa kiwivu wivu.Kama hakufungwa kisiasa alifungwa kwa ajili gani? Alafu ulivyo muongo eti katoka kwa msamaha wa rais. Msamaha unasubili...
Anatukana au anaambiwa? Mfano sasa hivi anasema hawezi kimpa mtu mkopo aliye soma privet. We hiyo unaichukuliaje kwa mfano. Ukikosoa unaitwa mtukanaji.Yeye ni bingwa wa kejeli na matusi akirudishiwa achukulie poa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.