Recent content by para 2

  1. P

    Nafasi za kazi world vision

    Habari wana jamii forum, hivi kazi walizotangaza world vision washaita interview
  2. P

    chuo cha kilimo iringa

    niaje wadau, naomba msaada kama kuna chuo cha kilimo iringa, nimepigiwa simu eti nimechaguliwa kusoma hapo certificate, lakini nimecheck kwenye net jina langu si miongoni, mwa majina yalotangazwa na wizara, vyuo vyote vya kilimo majina yametangazwa na wizara?
  3. P

    Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

    mmmh kitambi noma jaman mazoez mhm
  4. P

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    duuh, yaani nyama tu watu tunauana, tunapokwenda sipo, kama nyama imechinjwa na mkristu na inaliwa na mkiristu shida ipo wapi? nyama ya ibada haifai kuliwa na asiyefanya ibada iyo
  5. P

    Nimeamini wana mwanza mna upendo wa dhati

    nikweli wana mwanza wamezid kupendana
  6. P

    Nimeamini wana mwanza mna upendo wa dhati

    nikweli wana mwanza wamezid kupendana
  7. P

    hi

    naombeni kukaribishwa
Back
Top Bottom