Recent content by Orcitz

  1. Orcitz

    Matembezi ya hisani kuhamasisha uchunguzi natiba ya saratani ya matiti 29 Oktoba 2016

    Taasisi ya Saratani Ocean Road kwa kushirikiana na Hoteli ya Kunduchi Beach, Hospitali ya Agha Khan na Radio ya Efm 97.3, imeandaa matembezi ya hisani tarehe 29 Oktoba, 2016 ambayo yataanzia katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road saa 12.30 asubuhi na kuhitimishwa saa 4.30 katika Taasisi ya...
  2. Orcitz

    Kuadhimisha Siku Ya Saratani Duniani [4 Februari 2016]

    " And as you know now, last year, I was found to be a cancer patient...." #NelsonMandela #WorldCancerDay #WeCanICan
  3. Orcitz

    Kuadhimisha Siku Ya Saratani Duniani [4 Februari 2016]

    Saratani, a deadly and most neglected Disease. I wonder when people will wake up
  4. Orcitz

    World Cancer Day: Top five foods that can keep cancer at bay!

    Cancer can affect everyone – the young and old, including children. It is one of the leading causes of death in the world, where about 70% of all cancer deaths occur in low- and middle-income countries. According to the WHO, worldwide, the 5 most common types of cancer that kill men are - lung...
  5. Orcitz

    Kuadhimisha Siku Ya Saratani Duniani [4 Februari 2016]

    Siku ya Saratani huadhimishwa duniani kote tarehe 4 Februari ya kila mwaka katika taratibu ambazo huunganisha azma ya dunia nzima katika kupambana na tatizo linalokua la ugonjwa wa saratani. Siku hii ya Saratani imeendelea kuwa siku muhimu kwetu sote, ikiadhimishwa miaka mitano baada ya utiwaji...
  6. Orcitz

    Matembezi ya Hisani Kuwasaidia Wagonjwa wa Saratani (October Pink Walk)

    Ahsante, Kwa walio mikoani unaweza kuwasaidia ndugu zetu kwa kuwachangia kupitia M pesa, fuatilia hatua hizi zilizopo kwenye picha hii kupitia namba 175555 ~
  7. Orcitz

    Matembezi ya Hisani Kuwasaidia Wagonjwa wa Saratani (October Pink Walk)

    Kwa mara nyingine tena, napenda kuwakaribisha wana Jamii watakaokuwa na fursa na wasaa wa kuungana nasi katika matembezi ya hisani yatakayofanyika 10/10/2015 kama bandiko hapo juu linavyojieleza. Karibuni CC: Mtambuzi
  8. Orcitz

    Matembezi ya Hisani Kuwasaidia Wagonjwa wa Saratani (October Pink Walk)

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kwa kushirikiana na Kunduchi Beach Hotel & Resort, Tigo, ITV, Radio One, Epitome Architects, KCB Bank, Apex QS LTD na Mecplan Consulting Engineering wanawakaribisha wanachama wa JamiiForums na Watanzania kiujumla, kushiriki katika matembezi ya Hisani...
Back
Top Bottom